Radio Tadio

Afya

23 December 2023, 12:52 pm

‘Cha Malawi’ chateketezwa Kasumulu

Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Kyela imeteketeza jumla ya tani 154.28 za madawa ya kulevya aina ya bangi zilizokamatwa baada ya misako mbalimbali ya jeshi la polisi wialayni hapa. Na Nsangatii Mwakipesile Mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine…

22 December 2023, 2:20 pm

Hospitali Siha yakabidhiwa vifaa tiba na magari matatu

Vifaa tiba pamoja na gari vilivyokabidhiwa katika hospitali ya wilaya ya Siha (picha na Elizabeth Mafie) Hospitali ya wilaya ya Siha imekabidhiwa vifaa tiba pamoja na magari vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia tisa. Na Elizabeth Mafie Ambulance…

20 December 2023, 4:06 pm

Wananchi Katavi waaswa kukata bima  ya afya

Kufuatia uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote wananchi wa mkoa wa Katavi wametakiwa kukata bima  ya afya. Na Deus Daud – KATAVI Kufuatia uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote wananchi wa mkoa wa Katavi…