Radio Tadio

Afya

19 December 2023, 7:42 pm

JKCI wasogeza matibabu ya kibingwa Kilimanjaro

Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete ( JKCI ) yaanza kutoa huduma za matibabu ya kibingwa katika mkoa wa Kilimanjaro. Na Elizabeth Mafie Wananchi mkoa wa Kilimanjaro na mikoa jirani wameanza kupatiwa huduma na  matibabu ya kibingwa ya ugonjwa wa moyo…

18 December 2023, 21:43

Magonjwa yasiyoambukiza huchangia asilimia 33 ya vifo nchini-WHO

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo wananchi huathirika zaidi na magonjwa yasiyoambukiza. Na Fred Cheti. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaeleza kuwa magonjwa yasiyoambukiza yanachangia takribani asilimia 33 ya vifo vyote nchini huku takwimu hizo…

16 December 2023, 11:40 am

Mwalusangani awalilia wadau kukamilisha ujenzi zahanati ya Nkuyu

Wadau wa maendeleo wilayani Kyela wameombwa kusaidia ujenzi wa zahanati ya Nkuyu iliyokwama kumalizika kutokana na ufinyu wa bajeti. Na James Mwakyembe Baada ujenzi wa zahanati ya Nkuyu kukwama kumalizika kwa wakati uliopangwa diwani wa kata ya Nkuyu Hezron Mwalusangani…

16 December 2023, 12:15 am

Wananchi watoa maoni mseto kwa wavaa miwani bila kupima

Wananchi mkoani Katavi watoa maoni juu ya madhara ya kuvaa miwani bila kuzingatia ushauri wa  madktari wa macho. Na Lilian Vincent – Katavi Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni juu ya madhara yanayoweza kumpata mtu anaevaa miwani bila…

9 December 2023, 5:07 pm

Wanawake wilayani wakomesha ukatili

kufuatia na kuwepo kwa vitendo vya ukatili kwenye jamii wanawake wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuripoti kwenye vyombo vya sheria. RUNGWE-MBEYA Na Lethicia Shimbi Ikiwa bado ni Mwendelezo wa kampeni za kupinga ukatili wa kinjinsia Duniani  Wanawake Wilayani Rungwe Mkoani…

8 December 2023, 4:40 pm

Jamii wahimizwa kujitokeza kuchanjwa chanjo ya UVIKO-19

Jamii wametakiwa kujitokeza kuchanjwa chanjo ya UVIKO19 ili kukabiliana na Maambukizi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona. Na Baraka David Ole Maika Wito huo umetolewa na Mratibu wa Chanjo Wilaya ya Simanjiro Bw Hassan Bakari Keya alipofanya mahojiano na Orkonerei…