Vwawa FM Radio
103.7 MHz
Vwawa, Songwe
0755547156
vwawafm1radio@gmail.com
https://songwemedia.co.tz/
103.7 MHz
Vwawa, Songwe
0755547156
vwawafm1radio@gmail.com
https://songwemedia.co.tz/
Mvua zaharibu nyumba mpanda, kamati ya ulinzi na usalama yafika na msaada kwa waathirika Na Anyisile Fredy KAMATI ya ulinzi na usalama wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe ikiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo Mh.Farida Mgomi imetoa msaada kwa wakazi…
8 November 2026, 10:57 am
Mvua zaharibu nyumba mpanda, kamati ya ulinzi na usalama yafika na msaada kwa waathirika Na Anyisile Fredy KAMATI ya ulinzi na usalama wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe ikiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo Mh.Farida Mgomi imetoa msaada kwa wakazi…
8 November 2026, 9:59 am
Elimu ya afya ya udongo yatolewa kama silaha ya kuongeza tija ya kilimo na matumizi sahihi ya mbolea kwa wakulima Na Nkopeye Mwazembe WADAU wa sekta ya kilimo wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe wametakiwa kuimarisha huduma ya utoaji wa elimu…
6 November 2026, 4:48 pm
Makazi hayo yatakuwa na huduma tofauti za kijamii kwa lengo la kuboresha ustawi wa wazee hao Na Nicholaus Ndabila Naibu katibu mkuu wa Wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalumu, wakili Amon Mpanju amesema hayo Novemba 4,2026…
6 November 2026, 4:16 pm
Uhaba wa nyumba za walimu kuna nyumba moja pekee kati ya 38 zinazohitajika Na Stephano Simbeye SHULE ya sekondari Isangu iliyopo kata ya Hasanga wilayani Mbozi mkoa wa Songwe inakabiliwa na uhaba wa nyumba za walimu ikiwa na nyumba moja…
1 October 2026, 12:57 pm
Tahadhari ya mvua za El Nino ambazo zimetangazwa na mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) Na Nkopeye Mwazembe Wakazi wa Vwawa wilayani Mbozi wametoa wito huo jana Septemba 29, 2026 wa kuhakikisha kundi hilo linakuwa salama wakati huo…
19 September 2026, 9:15 am
Wakulima wahimizwa kutengeneza mboji kutokana na masalia ya mazao, ili kurejesha virutubisho na kuimarisha uzalishaji. Na Stephano Simbeye MBOZI WAKULIMA wa kahawa wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe, wameshauriwa kuanza kutumia tecknolojia ya kuhifadhi udongo na yenye kuongeza virutubisho kwa…
13 September 2026, 11:08 am
Vijana waliohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi JKT Itaka, Mbozi, wameaswa kulinda afya ya mwili na akili ili waweze kulitumikia taifa kwa uadilifu. Na Stephano Simbeye MBOZI VIJANA wanaohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika kikosi cha JKT Itaka kilichopo…
25 June 2026, 8:44 am
Pichani ni Vijana wajasiliamali walioshiriki kwenye kongamano la vijana kata ya Hasanga. Picha na Mkaisa Mrisho Watakiwa Kuchangamkia Mikopo Maalumu Na Mkaisa Mrisho HASANGA WAJASIRIAMALI wadogo wilayani Mbozi mkoa wa Songwe wametakiwa kuchangamkia mikopo maalumu kwa ajili ya kundi hilo…
20 May 2026, 7:01 pm
Chama cha Ushirika cha Msingi (AMCOS) kina fursa nyingi za kunufaisha wakukima. Na Stephano Simbeye KIKUNDI cha Wakulima wa zao la palachichi wilaya ya Mbozi (MAP) wameshauriwa kusajili kikundi hicho kuwa chama cha msingi cha Ushirika(AMCOS) ili waweze kunifaika na…
13 May 2026, 12:27 pm
Suala la umeme jazilizi na ukarabati wa miundombinu ya barabara. Na Stephano Simbeye LONDONI: WAKAZI wa kitongoji Cha Londoni kata ya Hasanga, wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamemkumbusha diwani wa kata ya Hasanga, Mh.Malick Nzowa suala la umeme jazilizi na…
“VWAWA FM” is a commercial, variety hits radio station transmitting from VWAWA MBOZI, SONGWE. The radio is programmed with music, well researched information, ethical advertisement and promotions. The station employs competent individuals who are creative and professionally dedicated to satisfying our listeners, sub scribers, and advertisers, needs.
The radio is owned by SONGWE MEDIA COMPANY LIMITED, a company registered under Tanzania Act of Companies in 6th September 2017 with certificate of incorporation No. 137624 of 6th September, 2017.
The main purpose for the establishment of VWAWA FM was to air to the public the important event, occurring in the country and outside of it, as well as, education, customs, tradition, science, health, agriculture, road traffic, household knowledge, and entertainment through to traditional and modern songs, opera, drama, music among others. This satisfies the needs of information sharing and talent development.
VWAWA FM is located in SONGWE region, Mbozi District at Hasanga Ward though its broadcasting covers areas of neighboring regions, like Mbeya, and some areas of Rukwa, katavi, Njombe and some parts of Northern regions of Zambia and Malawi.
To be the best radio on the southern highland regions, whose content is to be closer to the listeners by telling them their annoyances, informing, educating, criticizing and entertaining.
Help provide employment to young people journalist and non journalist.