Radio Fadhila

mechi ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya CR Belouizdad ya Algeria ichezwe Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Februari 28, mwaka huu.

23 Febuari 2021, 5:05 mu

SHIRIKISHO la Soka Afrika limeridhia mechi ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya CR Belouizdad ya Algeria ichezwe Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Februari 28, mwaka huu.