Radio Fadhila

Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil mwambe amefanya ziara katika Jimbo lake

8 Januari 2021, 4:43 mu

Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil mwambe amefanya ziara katika Jimbo lake na kutembelea Jumuiya mbali mbali za maji na kufanya nazo mkutano wenye lengo la kuboresha Shuguli wanazozifanya ili ziweze kufahamika kikatiba . Katika ziara hio aliambatana na Meneja wa Luwasa Juma yahya ambapo naye ameeleza ni kwa namna gani Ruwasa inatoa huduma za maji vijijini.Mwisho Cecil Mwambe amesema mbali na Miradi mikubwa inayohitajika kufanyika katika Jimbo lake kumekuwa na uhaba wa Cement amabapo kwa Jimbo la Ndanda imekua ikuuzwa kwa Sh 22000 mpk 25000 pale inapopatikana na sasa yapata Wiki moja hakuna Cement.