Radio Fadhila

kijamii

13 December 2020, 6:10 AM

Wanajamii wachanga fedha kukamilisha mahitaji ya shule.

Mkutano uliowahusisha Wazazi na wanajamii katika shule ya msingi Mpindimbi iliyopo wilayani Masasi kwa lengo kujadili mambo ya maendeleo ya katika shule hiyo Katika mkutano huo pia ilihusisha zoezi la harahambee ya kuchangia ili kukamilisha ujenzi wa ofisi ukarabati wa…