Ileje FM

Recent posts

September 11, 2023, 12:51 pm

Wananchi waliovamia maeneo watakiwa kuondoka

Wananchi waliovamia maeneo yaliyotengwa na wananchi katika kijiji cha Shinji wilayani Ileje mkoani Songwe watakiwa kuondoka Na Denis Sinkonde, Songwe Agizo hilo limetolewa na mkuu wa wilaya hiyo Farida Mgomi wakati akizungumza na wananchi hao katika mkutano wa hadhara uliofanyika…

October 21, 2021, 9:11 am

watoto 20 kati ya 85 wakutwa na udumavu Ileje

Watoto 20 kati ya 85 wamekutwa na udumavu katika kiijiji cha Igumila wilayani Ileje mkoani Songwe baada ya kupimwa na wataalamu wa afya wakati wa kutoa elimu juu ya umuhimu wa lishe ikiwa ni kuelekea maadhimisho ya siku ya lishe…

October 19, 2021, 12:03 pm

Kamanda wa polisi akanusha askari kupasuliwa fuvu la kichwa Songwe

kamanda wa polisi mkoa wa Songwe Janeth Magomi amekanusha taarifa iliyosambaa kwenye vyombo vya habari juu ya baadhi ya askari wa jeshi la polisi wilayani Mbozi kupasuliwa fuvu la kichwa na wananchi wenye hasira kali wa kijiji cha Mpanda kata…

October 15, 2021, 12:07 pm

Songwe kutimiza ndoto ya Mh. Samia Januari 2022

Mkoa wa Songwe umetangaza mkakati mahususi wa kukusanya kiasi cha shilingi milioni 200 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya msingi itakayowezesha kufunguliwa na kupokea wanafunzi kwa shule ya wasichana ya Mkoa inayojengwa katika eneo la Myunga,Wilayani Momba mkoani…

October 13, 2021, 8:58 am

Ulaji wa kinyesi kibichi unavyosababisha vifo kwa watoto wadogo

Hayo yalibainishwa na wakati wa uzinduzi wa kampeni ya usafi mazingira na matumizi bora ya vyoo, uliozinduliwa Kimkoa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Omary Mgumba Mjini Vwawa, Wilayani Mbozi. Mgumba amesema Ugonjwa wa kuhara unaosababishwa na ulaji wa…