On air
Play internet radio

Recent posts

May 30, 2024, 11:46 am

Wananchi 4700 Iseche kunufaika na mradi wa maji safi

Na Denis Sinkonde,Songwe Wananchi wa kijiji cha Iseche kilichopo Wilayani Songwe Mkoani Songwe wameondokana na adha ya kutumia maji yasiyo safi na salama ambayo awali walikuwa wanayapata kutoka mto songwe na kusababisha kupata magonjwa ya tumbo kutokana na matumizi ya…

May 10, 2024, 2:49 pm

Wananchi wachimba mashimo na kujisaidia kwa kukosa vyoo

Na Denis Sinkonde, Songwe Jumla ya kaya 128 kati ya 320 katka Kijiji cha Mkutano Wilaya ya Momba mkoani Songwe hazina vyoo, huku kaya 34 pekee ndizo zenye vyoo bora sawa na asilimia 17. Hayo yamebainishwa na Mganga Mkuu wa…

May 9, 2024, 7:29 am

RC Songwe awatahadharisha wazazi wanaowaozesha wanafunzi

Na Denis Sinkonde,Songwe Katika kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo ndoa na mimba za utotoni, Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo, ametoa tahadhari kwa wazazi na walezi pamoja na wananchi kwa ujumla wilayani Ileje, mkoani humo wanaoendekeza…

May 7, 2024, 6:45 am

Wahitimu wa JKT wahimizwa kuwa na matumizi sahihi ya mitandao

Na Denis Sinkonde,Songwe Mkuu wa Ukaguzi JWTZ, Meja Jenerali Kahema Mzirai amewaasa wahitimu wa mafunzo ya awali ya JKT Kikosi cha Itaka kufanya matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kuepuka mazara ya mitandao hiyo Ametoa rai hiyo leo Jumatatu Mei…

May 7, 2024, 6:22 am

Bilioni 5.7 kutatua miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na mvua Songwe

Na Denis Sinkonde,Songwe Mkuu wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo ameipongeza timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kasi ya kurejesha miundombinu ya barabara iliyoharibiw ana mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo. Chongolo ameeleza kuwa changamoto ya uharibifu…

May 6, 2024, 6:52 am

Watu sita wakamatwa kwa kutoa mikopo ya kausha damu bila kibali

Na Denis Sinkonde,Songwe Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania, wamewakamata watu 6, kwa tuhuma za kufanya biashara ya huduma za mikopo, maarufu kama ‘Kausha Damu’ bila kuwa na leseni, ambapo pia watu hao…

May 6, 2024, 6:28 am

Mwandishi wa habari akamatwa kwa kujifanya usalama wa taifa

Na Denis Sinkonde,Songwe Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) ambaye jina lake limehifadhiwa kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, akijitambulisha kuwa ofisa usalama wa Taifa. Kamanda Senga ameyasema…

May 3, 2024, 7:28 am

CWT Songwe yawanyima sare walimu siku ya Mei Mosi

Na Denis Sinkonde,Songwe Zaidi ya walimu 5000 wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Songwe wamelalamikia uongozi wa chama hicho taifa kushindwa kuwanunulia sare kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambayo mkoani Songwe yamefanyika wilayani…

May 1, 2024, 8:00 am

Rc Songwe akemea wananchi kuuziwa vitambulisho vyua Nida

Na Denis Sinkonde,Songwe Viongozi wa serikali za vijiji na mitaa mkoani Songwe wametahadhirishwa kutowauzia wananchi vitambulisho vya Uraia(NIDA) watakaobainika kuchukuliwa hatua kali. Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Itale kata ya Itale Mkuu wa Mkoa huo Daniel Chongolo leo Aprili…

April 30, 2024, 6:28 am

Rc chongolo apongeza kasi ya mradi wa maji Ileje

Na Denis Sinkonde,Songwe Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameipongeza Wakala Wa Maji na Usafi wa Mazingira (Ruwasa) wilayani Ileje mkoani humo kwa kasi ya utekelezaji wa mradi wa maji wa shilingi bilioni 4.9 utakaotatua changamoto ya maji Itumba…

Ileje FM Radio Profile

“ILEJE FM” is a community radio, variety hits radio station transmitting from ITUMBA ILEJE, SONGWE. The radio is programmed with community, well-researched information, ethical advertisements, and promotions. The station employs competent individuals who are creative and professionally dedicated to satisfying our listeners’ and advertisers’ needs in the community.

The radio is owned by ILEJE DISTRICT, registered under the Tanzania Act of Companies on 31st October 2002 with certificate of incorporation No.112581 of 31st October 2002.

The main purpose for the establishment of ILEJE FM was to air to the community the important events, occurring in the country and outside of it, as well as, education, customs, tradition, science, health, agriculture, road traffic, household knowledge, and entertainment through to traditional and modern songs, opera, drama, music among others. This satisfies the need for information sharing and talent development.

 Location

ILEJE FM is located in the Songwe region, Ileje District though its broadcasting covers areas of neighbouringregions.Rukwa, Mbeya, Ruvuma, Njombe, and some parts of Northern regions of Zambia and Malawi. The maximum of listeners is 5,000,00.

Vision 

The Vision of ILEJE FM is to build community, a loyal and growing audience, and an engaged and educated citizenry by providing the highest quality of free-form programming that broadcasts entertainment, music, news, thoughts, sounds, ideas, and event listings that support free speech, diversity, and the interests of the local and global communities.

The ongoing ripple effect of sustaining ILEJE FM COMMUNITY RADIO is to expand a dedicated listener base who embrace and support ILEJE FM COMMUNITY RADIO because they feel their lives are enriched and improved, their communities strengthened, and the world is a better place.

Values

         Inclusion: We believe that the fabric of our community is stronger when all of its members have the opportunity to express their diverse interests, concerns, and points of view.

         Empowerment: We believe in providing educational opportunities that enable community members to build new skills and gain valuable experience. We promote an exchange of ideas that enriches people’s lives.

         Mutual Support: We believe in fostering connections among the people of Songwe region in order to strengthen appreciation for the community and support among neighbors. Communication and local self-sufficiency during an emergency are important in a small, remote community.

         Independence: We believe it is important that communities take responsibility for understanding the issues that affect them. Locally controlled media have the ability to provide viewpoints and information unavailable elsewhere.