Radio Tadio

Ukatili

5 October 2023, 10:23 am

Wanahabari Pemba watakiwa kuibua changamoto za wananchi

Waandishi wahabari kisiwani Pemba wametakiwa kusaidia jamii kupambanana  na udhalilisha wa aina yoyote ile  sambamba na kutoa elimu juu ya vitendo hivyo  ambavyo bado vimo ndani ya jamii. Na Khadija Rashid          Jumuiya ya KUKHAWA  kisiwani Pemba imezitaka kamati za kuibua…

12 September 2023, 9:02 pm

Vyombo vya maamuzi kikwazo mapambano dhidi ya ukatili Geita

Na Mrisho Sadick – Geita Naibu waziri wa maendeleo ya Jamii , jinsia, Wanawake na makundi maalumu Mwanaidi Ali Khamis amevitaka vyombo vya kutoa maamuzi kuharakisha uchunguzi nakutoa uamuzi wa kesi mbalimbali za vitendo vya ukatili  ili kuepuka kupoteza ushahidi…

12 September 2023, 1:37 pm

Hatma ya watoto wa kike waliopata ujauzito katika umri mdogo

Mimba za utotoni ni miongoni mwa sababu zinazosababisha wasichana wengi kutotimiza ndoto zao huku takwimu zikionesha asilimia 40 ya wasichana huacha masomo kutokana na mimba, hii ni kwa mujibu wa utafiti wa mwaka 2016 wa Human Rights Watch. Frida Mwaipopo…

1 September 2023, 11:16

Wanafunzi walia na ukatili wa kijinsia Kigoma

Katika kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia, Shirika la Maendeleo ya Vijana mkoani Kigoma KIVIDEA limeendelea kutoa elimu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili kuwapa elimu ya kujitambua ili waweze kuepukana na vitendo vya ukatilii. Na,…

26 August 2023, 9:24 pm

Bunda: ajinyonga aacha watoto na mke

Akutwa amejinyonga nyumbani kwa wazazi wake chanzo hakijajulikana aacha mke na watoto wawili Na Adelinus Banenwa Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Kija Hamis Machilu {29} mkazi wa Kitaramanka kata ya Sazira Bunda mjini amepoteza maisha kwa kujinyonga nyumbani kwa…

23 August 2023, 2:53 pm

Matukio ya udhalilishaji yaongezeka kwa 32.3% Zanzibar

Na Ahmed Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  imesema  pamoja na kupiga  vita dhidi ya matukio ya  udhalilishaji na ukatili kwa wanawake  na watoto lakini bado matukio hayo yanaongezeka kila siku. Kwa mujibu wa takwimu za makosa ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia kutoka…

22 August 2023, 4:11 pm

Adaiwa kuuawa na mpenzi wake, mwili watelekezwa ndani Bunda

Jeshi la polisi mkoa wa Mara linaendelea kumtafuta mhusika wa tukio hilo huku akibainisha baadhi ya vitu vilivyopotea katika nyumba ya marehemu vimekamatwa wilayani Serengeti. Na Adelinus Banenwa Jeshi la polisi mkoani Mara linamtafuta mwanaume mmoja anayetuhumiwa kumuua mwanamke aliyetajwa…