Radio Tadio

Ukatili

9 August 2023, 4:19 pm

Nini kifanyike kesi za ukatili kingono zisimalizwe kifamilia?

Unyanyasaji unaweza kutokea katika mazingira mbalimbali ya kijamii kama vile sehemu za kazi, nyumbani, shuleni au kwenye Taasisi za kidini. Na Mariam Matundu. Ni aina ya unyanyasaji unaohusisha matumizi ya matamshi ya ngono ya wazi au ya siri, ikiwa ni pamoja na ahadi zisizohitajika…

1 August 2023, 2:51 pm

Wadau waitaka serikali kudhibiti usafirishaji wa binadamu

Asilimia 50 ya watu wanaosafirishwa wanatumikishwa kingono ilhali asilimia 38 ni utumikishwaji kwenye ajira mbalimbali. Na Fred Cheti. Wadau mbalimbali wa masuala ya kupinga usafirishaji haramu wa binadamu wameitaka serikali kuweka mikakati madhubuti ya kudhibiti usafirishaji wa binadamu hapa nchini.…

27 July 2023, 11:12 am

Kanisa la EAGT Frelimo lakemea ukatili wa kijinsia, ushoga

Na Hafidh Ally Kanisa ya EAGT Frelimo Manispaa ya Iringa limeweka mkakati wa kukemea matukio ya ukatili wa m kijinsia na ushoga kupitia ibada wanazoendesha. Akizungumza na Nuru FM Mchungaji Ezekiel Yona Mwenda kutoka Kanisa la Evangelistics Assembless of God…

27 July 2023, 10:58

Mtoto aliyechomwa moto mikoni kwa kuiba muwa apata matibabu

Kufuatia mtoto wa miaka mitano kuchomwa moto mikono na mama yake mzazi Esther Damiani mnamo tarehe Juni 29 mwaka huu baada ya kuiba muwa, hatimaye mtoto huyo anaendelea vizuri kutokana na matibabu anayoendelea kupatiwa. Na, Hagai Ruyagila. Akizungumza na Radio…

July 10, 2023, 11:58 pm

Watatu mbaroni tuhuma za kubaka mwanafunzi

Wazazi na Walezi wanatakiwa wawe karibu watoto kwa kuwalea katika maadili ya kidini,kwasababu kumekua na changamoto ya mmomonyoko wa maadili katika jamii” Na Halima Khoya Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linawashikilia vijana watatu wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kumbaka…

July 3, 2023, 12:24 pm

Wajumbe MTAKUWWA wapanga mikakati kupinga ukatili wa kijinsia

Wajumbe wa kamati ya MTAKUWWA wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamekutana katika kikao  cha mradi wa Mwanamke Amka ili kujadili mpango kazi ambao utatokomeza ukatili wa kijinsia huku wanaume wakitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa kinachochochea ukatili. Na Misoji Masumbuko Akizungumza wakati…

3 July 2023, 10:25

Kigoma: Mtoto achomwa moto mikono na mama yake kisa muwa

Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amechomwa moto mikononi na mama yake mzazi akimtuhumu kuiba muwa. Na, Hagai Ruyagila. Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Esther Damiani mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa kitongoji cha Uwanjani kata ya Mwandiga…