Radio Tadio

Ukatili

22 March 2023, 9:09 am

Usiri ndani ya familia chanzo cha ukatili Iringa

Katika kukabiliana na matukio ya ukatili katika jamii, usiri umetajwa kusababisha matukio hayo kukithiri. Na fabiola Bosco Usiri ndani ya familia umetajwa kuwa sababu ya ongezeko la vitendo vya ukatili wa kingono na vipigo kwa watoto mkoani Iringa licha ya…

10 March 2023, 3:39 pm

Mitandao yachangia ukatili wa kijinsia kwa vijana balehe

Profesa huyo ameiomba serikali kusimamia utekelezaji wa sheria hiyo huku akipendekeza kutungwa kwa kanuni zenye mlengo wa kijinsia zitakazotoa ulinzi maalum kwa watoto wa kike na wanawake dhidi ya ukatili wa mtandaoni. Na Zania Miraji. Takwimu zinaonyesha kuwa asilimia 4…

9 March 2023, 1:18 pm

Wananchi Wafunguka Kichanga Kutupwa Chooni

NSIMBO Baadhi ya wananchi wametoa maoni mseto kutokana na tukio la mtoto mchanga kutupwa katika shimo la choo kitongoji cha Isagala kijiji cha Uruwila Hamshauri ya Nsimbo Mkoani Katavi. Wakizungumza na Mpanda Redio Fm kwa nyakati tofauti wameviomba vyombo vya…

9 March 2023, 12:31 pm

Viendo vya Ulawiti, Ubakaji Bado Changamoto Katavi

MPANDA Wazazi na walezi katika mtaa wa Rungwa kata ya Kazima  Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamesikitishwa na kitendo cha ukatili wa kingono kilichofanywa na mwalimu wa kituo cha New Light Day Care huku wakitaka achukuliwe hatua za kisheria ili…

9 March 2023, 12:00 pm

TPF Net kuendeleza kudhibiti na kutokomeza vitendo vya ukatili

TPF Net limesema limejipanga kushirikiana na wadau mbalimbali katika kudhibiti na kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia. Na Fredi Cheti. Jeshi la Polisi nchini kupitia Mtandao wa polisi wanawake nchini TPF Net limesema limejipanga kushirikiana na wadau mbalimbali katika kudhibiti…

8 March 2023, 4:04 pm

Wanawake watakiwa kusimama imara kupinga ukatili

Wanawake wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kukemea na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyo endelea katika jamii. Na Mariam Kasawa. Wanawake wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kukemea na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyo endelea katika…

21 February 2023, 2:21 pm

Abaka na kulawiti wadogo zake wawili Kilosa

Vitendo vya kikatili vinavyoendelea dhidi ya Watoto wadogo bado ni tatizo kubwa katika jamii zetu tunazoishi,hali inayopelekea watoto kukatisha ndoto zao kutokana na ukatili wanaofanyiwa. Na Beatrice Majaliwa Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilosa linamshikilia George Idd (19) mkazi wa…