Radio Tadio

Ukatili

20 February 2023, 13:11 pm

Kisa cheje auwawa na kutupwa kando ya bahari

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limesema linaendelea kufanya uchunguzi wa mauaji ya mwanaume mmoja aitwaye Abdul Shaa Abdulmajidi mwenye umri wa miaka 47, ambaye amekutwa akiwa amefariki baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mtu au watu…

17 February 2023, 1:48 pm

Simiyu: Askari aliyejeruhi mwanae afikishwa mahakamani

Askari wa jeshi la polisi mkoa wa Simiyu mwenye no H.4178 PC Abati Benedicto Nkalango miaka (27) aliyempiga  mwanae  mwenye miaka( 7) mwanafunzi wa darasa la kwanza katika  shule ya Herbeth Gappa English Mediam  na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili…

19 December 2022, 8:47 am

Wadau watakiwa kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili

Na; Alfred Bulahya. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu ameitaka jamii, wadau kwa nafasi zao kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili ambavyo vimekuwa vikitokea  katika maeneo mbalimbali nchini. Dkt. Jingu ameyasema hayo…

1 December 2022, 7:49 am

Mila na desturi kandamizi bado ni hatari kwa jamii

Na; Lucy Lister. Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine Duniani kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia wananchi jijini Dodoma wameeleza kuwa,bado kuna mila na desturi zinazokandamiza ustawi wa mtoto wa kike na mwanamke ikiwemo ukeketaji,kurithi wajane na kutopewa…

29 November 2022, 8:14 pm

Ukatili wa kingono sababu ya mimba za utotoni Katavi

KATAVI Ukatili wa kingono umetajwa kuwa ni chanzo kimoja wapo cha mimba za utotoni Mkoani Katavi ambapo jamii imehaswa kuwalinda watoto. Hayo yamesemwa na afisa maendeleo ya jamii Joshua Sankala alipokuwa kwenye uzinduzi wa siku kumi na sita za kupinga…

9 September 2022, 9:57 am

Jamii itoe taarifa kuhusu vitendo vya ukatili

RUNGWE-MBEYA. NA:LETHISIA SHIMBI Baadhi ya Wanawake Wilayani Rungwe mkoani Mbeya  wameeleza namna wanavyoshiriki kutoa taarifa za vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii ili kuweza kutokomeza vitendo hivyo. Wakizungumza na chai fm BAHATI SIMON na MAIDASI NDAMU wamesema endapo vitendo…