Radio Tadio

Uchumi

22 April 2023, 9:45 am

Buswelu: Jipangeni Kukusanya Mapato Yanayopotea

TANGANYIKA Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu ametoa maelekezo kwa mkurugenzi wa halmashauri ya Tanganyika kuangalia namna bora ya ukusanyaji wa mapato katika kipindi hiki cha mavuno. Maelekezo hayo ameyatoa wakati wa kikao cha baraza la madiwani wilaya ya…

11 April 2023, 4:40 pm

Makang’wa wahofia uzalishaji mdogo wa uwele

Uwele ni zao ambalo hustawi katika mazingiŕa magumu na kame lakini Msimu huu imekuwa tofauti uzalishaji wake unatajwa huenda ukawa hafifu. Na Mindi Joseph. Wakulima katika kijiji cha Makag’wa Mkoani Dodoma wamesema Kupungua kwa viwango vya mvua msimu huu wasiwasi…

4 April 2023, 5:35 pm

Bodi ya nafaka yaendelea kuimarisha soko la mazao Dodoma

Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko imefanikiwa kununua  mazao ya wakulima yenye thamani ya Shilingi 9.6 Bilioni na kuzalisha Tani 480 zilizotolewa msaada Nchini Malawi. Na Mindi Joseph. Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Mkoani Dodoma inaendelea kuimarisha Soko la…

20 March 2023, 4:59 pm

Wakulima zao la Pilipili Waneemeka na soko la zao hilo

MPANDA Wakulima wa zao la Pilipili Mikoa ya Katavi na Songwe wametakiwa kutumia fursa ya kujikwamua kiuchumi kwa kujizatiti katika kilimo cha zao la pilipili ambalo kwa sasa soko lake ni la uhakika na lenye fursa. Akizungumza na Mpanda radio…

16 March 2023, 12:01 pm

Zaidi ya Mafundi smart 1800 kukutana march 17 kupeana Fursa

Kongamano la Mafundi Smart lina lenga kuonesha fursa za ajira kwa kundi hilo na kukuza kipato chao. Na Mwandishi wetu ZAIDI ya mafundi wa aina mbalimbali 1800 wanatarajia kukutana pamoja katika kongamano kubwa litakalo fanyika Mjini Iringa lengo kubwa likiwa…

9 March 2023, 1:12 pm

Watu Wenye Ulemavu Washauriwa Kuchangamkia Mikopo ya Halmashauri

KATAVI Watu Wenye ulemavu Mkoani Katavi  wameshauriwa  kuchangamkia fursa ya  mikopo ya asilimia mbili inayotolewa na serikali kupitia  halmashauri zote nchini. Katibu wa Chama cha watu wenye ulemavu Mkoa wa Katavi  Godfrey Sadala ameiambia Mpanda Radio kuwa watu wenye ulemavu…

9 March 2023, 12:45 pm

Jamii Yaaswa Kuacha Dhana Potofu katika Umiliki wa Mali

KATAVI. Jamii mkoani Katavi imetakiwa kuondokana Na dhana potofu inayomkandamiza mwanamke kupata haki ya kumiliki mali, na badala yake kuwapa haki hiyo kama ilivyo kwa wanaume. Wakizungumza Na mpanda redio fm baadhi ya wanawake mkoani hapa, wameeleza kuwa bado jamii…