Radio Tadio

Uchumi

13 September 2023, 16:39

Maabara ya madini Chunya

Hii hi maabara ya upimaji wa sampuli mbalimbali za madini ,minelabs iliyopo Halmashauri ya wilaya ya chunya mkoani Mbeya Mwanahabari : samweli mpogole Zaidi ya shilingi milioni 900 zimetumika kujenga miundombinu ya maabara ya upimaji wa sampuli za madini (Minelabs)…

7 September 2023, 12:22 pm

Madereva jijini Dodoma walia na bei ya mafuta

Serikali imetangaza bei mpya ya mafuta ambapo kwa sasa wastani wa bei kikomo kwa mkoa wa Dodoma ni shilingi 3271 kwa mafuta ya petrol, shilingi 3318 kwa mafuta ya diseli na mafuta ya taa shilingi 3002. Na Katende. Wamiliki wa…

30 August 2023, 12:19 pm

Kipindi: Uchumi wa bluu kuwainua wanawake Pemba

Wanawake wilaya ya Mkoani wanufaika na sera ya uchumi wa bluu kwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali zikiwemo kilimo cha mwani ambacho ni maalum kinacholimwa baharini na kwa sasa ni kilimo biashara ambacho wakaazi wanaoishi mwambao wa bahari wanalima kibiashara.

24 August 2023, 7:29 am

Maafisa kilimo Zanzibar wapewa rai

Mradi wa viungo ni mradi ambao umekuja kwa lengo la kumkomboa mwananchi kiuchumi kuondokana na hali ngumu ya maisha. Na Mwiaba Kombo Maafisa kilimo wameshauriwa kutoa taarifa kamili kuhusu udongo bora wenye kukidhi viwango kwa lengo la kuzalisha mazao bora…

16 August 2023, 10:39 am

ASAS kujenga kiwanda cha maziwa Njombe

Na Hafidh Ally Kampuni ya Asas Diaries @asas_dairies Mkoani Iringa inatarajia kujenga kiwanda cha maziwa katika Wilaya ya Njombe ili kuwainua wafugaji wa eneo hilo na kukuza uchumi. Hayo yamezungumzwa na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Ahmed Salim Abri @ahmed.s.asas mara…

5 August 2023, 10:25 am

Madiwani Mafinga watoa tamko bei ya nyama

Na Hafidh Ally Baraza la Madiwani halmashauri ya Mji wa Mafinga Mkoani Iringa limeridhia bei ya nyama iuzwe kwa shilingi elfu 9 baada ya wafanyabiashara wa nyama kuuza kwa shilingi elfu 10. Hatua hiyo imekuja baada ya kuongezeka kwa bei…