Radio Tadio

Siasa

26 September 2023, 12:15

Kada CHADEMA alia na serikali ugumu wa maisha

CHADEMA kata ya Kandete Busokelo kinafanya mkutano huo ikiwa ni maandalizi ya kumpokea Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe na safu yake wanaotarajiwa kuwa na mikutano katika wilaya ya Rungwe. Na Josea Sinkala Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kata ya…

September 25, 2023, 8:41 am

CCM Makete yafanya uchaguzi wa vijana chipukizi

katika kuwaandaa vijana wazalendo na viongozi wa baadaye chama cha Mapinduzi CCM Makete kimefanya uchaguzi wa viongozi wa vijana hao huku nafasi ya mweneyekiti ikichukuliwa na Michael Kened Chaula . na :Rose Njilile Jumuiya ya Vijana Makete mkoani Njombe kupitia…

14 September 2023, 09:50

Ziara ya Mbunge Mufindi Kaskazini Kata ya Kibengu

Mbunge wa Mufindi Kaskazini Mh. Exaud Kigahe (wa kwanza kushoto pichani) akiwa ziarani katika kata ya Kibengu wilayani Mufindi Jana. Picha na Kelvin Mickdady Na Kelvin Mickdady-Mufindi Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini ambaye pia ni Naibu waziri wa Viwanda…

13 September 2023, 1:23 pm

Wananchi waomba serikali iendelee kuwapatia elimu ya katiba

Wanasheria wanayo nafasi kubwa ya kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya katiba ya nchi ili kuwaongezea uelewa wananchi waweze kutambua haki na wajibu wao. Na Khadija Ayoub. Wananchi Jijini Dodoma wameiomba Serikali kuendelea kutoa elimu juu ya katiba ya…

11 September 2023, 12:00 pm

CHADEMA: Wananchi washughulikie viongozi wazembe

Kuelekea uchaguzi mdogo wa serikali za mitaa 2024 vyama vya upinzani wameeleza mbinu watakazozitumia kuking’oa chama tawala madarakani. Na Cleef Mlelwa- Makambako Wananchi wa halmashauri ya mji wa Makambako wametakiwa kuwaondoa madarakani viongozi wote wa kisiasa ambao wameshindwa kutatua changamoto…

10 September 2023, 10:11 pm

Tuendelee kumpa ushirikiano Rais wetu – Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi kuendelea kumwamini Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa sababu ana dhamira na malengo makubwa ya kuendelea kuboresha maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini yakiwemo na ya wilaya ya Ruangwa. “Tujenge imani ya Serikali yetu, tujenge…