Nishati
18 October 2022, 6:10 am
Wakazi wa Miganga waiomba serikali kuendelea kusambaza umeme
Na; Benard Filbert. Wakazi wa kijiji cha Miganga Kata ya Idifu wilaya ya Chamwino wameiomba serikal kuendelea kusambaza nishati ya umeme katika kijiji hicho hali itakayosaidia kukua kwa uchumi. Ombi hilo wamelitoa wakati wakizungumza na Taswira ya habari kuhusu uwepo…
19 September 2022, 4:25 pm
Umeme Kigoma: Serikali kuokoa Bil 22.4
Serikali sasa inatarajia kuokoa shilingi Bilioni 22.4 kwa mwaka ambazo zilikuwa zikigharamia ununuaji wa mafuta kuendeshea mtambo wa Jenereta na matengenezo yake, ili kupata umeme uliokuwa ukitumika Mkoa wa Kigoma. Uokoaji wa kiasi hicho cha pesa unafuatia Mkoa huo kuunganishwa…
25 August 2022, 7:33 am
KAMPUNI YA MAXCOAL KUZALISHA MAFUTA NA GAS MKOANI NJOMBE
Kampuni ya uchumbiji madini ya makaa ya mawe maximum Energy and Minerals Limited (MAXCOAL) iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe imeadhimia kuanzisha uzalishaji gas na mafuta kwa kutumia makaa ya mawe pindi watakapokamilisha taratibu za kiserikali. Akizungumza hayo mwenyekiti wa…
11 August 2022, 7:35 am
Ujenzi Bwawa la kufua umeme la Nyerere bado asilimia 33
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema ujenzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere umefikia asilimia 67 na kubaki asilimia 33 na kusema kazi iliyokuwa ikifanyika kwa miaka miwili na nusu, hivi sasa imefanyika ndani ya mwaka mmoja. Makamba…
8 June 2022, 3:10 pm
Nishati mbadala itaepusha uharibifu wa mazingira
Na; Benard Filbert. Jamii imeshauriwa kutumia nishati mbadala hali itakayosaidia kuepuka uharibifu wa mazingira hivyo kuchangia mabdailiko ya tabia ya nchi. Ushauri huo umetolewa na meneja wa mamlaka ya hali ya hewa kanda ya kati bwana Isdory Kilenga wakati akizungumza…
8 June 2022, 2:59 pm
Wakazi wa Pwaga waiomba Serikali huduma ya umeme
Na; Victor Chigwada. Wakazi wa Kata ya Pwaga Wilaya ya Mpwampwa wameiomba Serikali kuwafikishia huduma ya umeme. Wakizungumza na taswira ya habari wameleza changamoto hiyo imekuwa ya muda mrefu licha ya wao kujaribu kutuma maombi ya kuunganishiwa umeme. Mwenyekiti wa…
18 May 2022, 2:02 pm
Makaa ya mawe yatapunguza kutoweka kwa misitu
Na;Mindi Joseph. Shirika la utafiti wa viwanda limefanya utafiti wa matumizi ya Mkaa wa makaa ya mawe utakaotumika nyumbani ili kusaidia kupunguza utowekaji wa misitu. Taswira ya habari imezungumza na Mtafiti kutoka shirika la utafiti na maendeleo ya viwanda Tazania…
18 August 2021, 1:46 pm
Kukamilika kwa daraja la kiselu kutasaidi kukuza uchumi wa Sunya, Gairo na Kongw…
Na; Selemani Kodima. Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la kiselu wilayani kiteto kunatajwa kusaidia kuchochea uchumi wa wakazi wa kata ya Sunya pamoja na wafanyabiashara wa maeneo ya Gairo na Kongwa. Akizungumza na Dodoma FM Diwani wa kata ya Sunya…
16 August 2021, 1:44 pm
Wakazi Mkoani Dodoma walalamikia kukosa taarifa juu ya mikopo ya asilimia kumi
Na;Yussuph Hans. Wakazi mkoani Dodoma wamelalamikia kukosa taarifa juu fursa ya mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na kila halmashauri nchini kwa vikundi vilivyosajiliwa vya vijana, wanawake na Watu wenye ulemavu. Wakizungumza na kitu hiki wakazi hao wamesema kuwa wanapata changamoto…
12 August 2021, 11:15 am
Zaidi ya Asasi 1000 zinatarajia kushiriki katika wiki ya Azaki 2021 jijini Dodom…
Na;Mindi Joseph . Zaidi ya Asasi 1000 zinatarajia kushiriki katika wiki ya azaki mwaka 2021 Jijini Dodoma ili kuleta uelewa wa mchango wa asasi za kiraia Nchini. Akizungumza mapema leo na waandishi wa habari Jijini Dodoma kwa niaba ya kamati…