Mazingira
15 October 2023, 1:32 pm
Pangani watakiwa kufanyia kazi taarifa za majanga ya asili
“Ni vyema wananchi wakachukua tahadhari wanapoona viashiria vya majanga na pia kuepuka kujenga nyumba kiholela.” Na Catheline Sekibaha Wananchi wilayani Pangani mkoani Tanga wametakiwa kuchukua tahadhari wanapopewa taarifa za uwepo wa viashiria vya matukio ya majanga ya asili ili kuepusha…
14 October 2023, 1:56 pm
Serikali yatoa maagizo kukabiliana na el nino
Kikao hicho kilihitimishwa kwa Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko kukabidhi Mpango wa Taifa wa Dharura wa kuzuia na kukabiliana na madhara ya El nino kwa mawaziri na viongozi waliohudhuria mkutano huo. Na Mindi Joseph. Mamlaka ya hali ya hewa nchini…
October 10, 2023, 4:14 pm
Miti ya matunda yapandwa kupunguza udumavu wilayani Makete
Ikumbukwe kua Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka vipaumbele kwa mwaka 2023/2024 kusimamia utekelezaji wa mpango kabambe wa hifadhi na usimamizi wa mazingira na kuchukua hatua za kupunguza uharibifu wa mazingira na Aldo Sanga Katika kuunga mkono juhudi…
9 October 2023, 2:36 pm
Wadau wa sekta ya uvuvi Pangani watakiwa kushirikiana kulinda rasilimali za baha…
“Tungekuwa tumepata elimu mapema, tungejua wa kulia nae” Na Abdilhalim Shukran Wataalamu wa sekta ya Uvivi wilayani Pangani wametakiwa kushirikiana na wavuvi kuimarisha jitihada za kulinda rasilimali za bahari. Ushauri huo umetolewa na wadau wa sekta ya uvuvi katika wilaya…
October 7, 2023, 7:37 am
Dc Ileje awapongeza wananchi wa Itale kulinda Misitu
Na Denis Sinkonde, Ileje Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe Farida Mgomi amewapongeza wananchi wa Kijiji cha Itale Kata ya Itale wilayani humo Kwa kufuata sheria na kanuni za kulinda utunzaji wa mazingira hususani Msitu wa Itale na…
6 October 2023, 2:25 pm
Pangani watakiwa kutibu maji ya mvua kabla ya kuyatumia
Maji ya mvua yanakuwa salama iwapo tu yatakingwa moja kwa moja wakati wa mvua. Na Mariam Ally Wananchi wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kuyatibu maji ya mnvua kabla ya kutumia na kuepukana na dhana kuwa maji hayo ni salama wakati…
6 October 2023, 1:34 pm
TARURA kuufungua mji wa Pangani kwa barabara za lami
Ukimulika nyoka unaanzia miguuni, kwahiyo tumeanza kujenga barabara za mjini kisha tutaenda kujenga za vijijini. Na Maajabu Ally. Uongozi wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini TARURA wilaya ya Pangani mkoani Tanga umesema unaendelea kuufungua mji huo kwa kujenga…
October 4, 2023, 7:15 am
Mliovamia hifadhi hekta 600 za hifadhi ondokeni haraka Dc Ileje
Na, Denis Sinkonde, Ileje Wananchi vijiji vya Ndapwa kata Ngulilo wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe na Kijiji Cha Kiobo wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya wametakiwa kuondoka na kuacha na uvamizi kwenye hifadhi ya msitu Kihosa uliopo Kijiji Cha…
1 October 2023, 5:47 pm
Madereva watakiwa kuchukua tahadhari katika msimu wa mvua
Madereva wa magari ya abiria na binafsi mkoani Katavi wametakiwa kuwa makini na kuchukua tahadhari katika kuelekea msimu wa mvua za masika KATAVI.Madereva wa magari ya abiria na binafsi mkoani Katavi wametakiwa kuwa makini na kuchukua tahadhari katika kuelekea msimu…
29 September 2023, 12:21 pm
WWF watua kwenye kitalu cha miti cha WUAs-Butiama
Na Thomas Masalu Watalaamu wa WWF wametembelea kitalu cha miti cha Jumuiya ya watumia maji ya mto Mara kusini ( WUAs) kilichopo Kijiji cha Kwisaro kata ya Nyamimange wilaya ya Butiama katika lengo la kujionea shughuli zinavyoendelea katika utunzaji wa…