Radio Tadio

Maendeleo

31 December 2023, 8:34 pm

Wadau wa maendeleo wazidi kuing’arisha Rungwe

Katika kuhakikisha ofisi Chama Cha Mapinduzi CCM kuwa na mwonekano mzuri wadau mbalimbali wameendelea kujitokeza kukarabati majengo ya chama hicho wilayani Rungwe. RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Mkurugenzi wa Taasisi ya mwaiteleke Foundation Aliko Mwaiteleke amewaomba wadau mbalimbali wa maendeleo nchini…

27 December 2023, 12:45 pm

Mhe Maboto ataja mafanikio jimbo la Bunda mjini 2023

Mhe Robert Chacha Maboto Mbunge Jimbo la Bunda Mjini amesema Kwa Mwaka huu 2023 amefanikisha miradi mbalimbali kufanyika Kwa upande wa Afya, Elimu, miundombinu pamoja na Maji. Na Adelinus Banenwa Mhe Robert Chacha Maboto Mbunge Jimbo la Bunda Mjini amesema…

22 December 2023, 8:06 am

Bunda yafanikiwa pakubwa 2023

Serikali wilayani Bunda imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutatua changamoto za wananchi katika sekta mbalimbali ikiwa ni kwa upande wa miundombinu, Elimu, Afya na Usuruhishi kwa kipindi cha mwaka 2023. Na Adelinus Banenwa Serikali wilayani Bunda imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutatua…

15 December 2023, 3:59 pm

Kapufi afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini Sebastiani Kapufi afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo iliyopo katika jimbo lake. Na Deus Daud – Mpanda Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini Sebastiani Kapufi amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo iliyopo katika jimbo lake…

9 December 2023, 08:16

Tufanye kazi kwa kuzingatia maadili ya kazi zetu

Na Hobokela Lwinga Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Rodrick Mpogolo amewataka Watumishi wote Mkoani Mbeya Kufanya Kazi kwa Kufuata Misingi na Maadili ya Kazi na kutanguliza Mbele Uzalendo ili Wananchi wapate huduma sahihi sawasawa na Wanavyostahili. Ameyasema hayo Wakati akizungumza…

8 December 2023, 1:37 pm

TEMESA kujiendesha kisasa kuondoa malalamiko

TEMESA kujivua gamba ili kwendana na kasi ya teknolojia kwa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa utendaji kazi ili kuondoa malalamiko kwa wadau wake. Na Mrisho Sadick – Geita Wakala wa ufundi na umeme Tanzania (TEMESA) umekusudia kujiendesha kisasa kwa kufanya…