Lishe
15 September 2026, 12:54 pm
Idara ya afya Manyara kuyakabili magonjwa ya mlipuko
Mkoa wa Manyara kupitia idara ya afya imechukua tahadhari za kukabiliana na magonjwa ya mlipuko yanayoweza kujitokeza kutokana na mvua za El Nino. Na Mzidalfa Zaid Kufuatia utabiri wa mvua za El Niño katika maeneo mbalimbali nchini, Idara ya Afya…
10 September 2026, 11:12
Mwenge kutembelea miradi 7 ya zaidi ya bil. 37 Kasulu
Mwenge wa uhuru 2026 umeendelea na mbio zake katika Halmashauri ya mji wa Kasulu ambapo unatembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo. Na Hagai Ruyagila Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma, Mwl. Vumilia Julius Simbeye, amepokea Mwenge…
15 May 2026, 6:16 pm
Mjumbe wa serikali ya mtaa atozwa faini kwa kulewa msibani
“Mtu anafika msibani akiwa amelewa anaanza kuongea mambo ya Simba na Yanga hii haikubaliki si kwa kiongozi hata kwa mtu mwingine yoyote” – Katibu wa maafa Na: Kale Chongela Mjumbe wa serikali ya mtaa wa Moringe kata ya Buhalahala halmashauri…
31 January 2024, 1:35 pm
Wananchi watakiwa kuzingatia lishe bora kwa watoto
Jamii imeshauriwa kuzingatia lishe bora kwa watoto ili kujenga mwili pamoja na kuimarisha afya ya akili kwa ujumla. Na Sabina Martin Wanafunzi waliopatiwa elimu ya lishe bora halmashauri ya wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wametakiwa kuwa mabalozi wa lishe katika…
13 November 2023, 18:24
Sekondari Onicah watoa msaada wa lishe hospitali ya rufaa kanda ya Mbeya
Na Yudah Jay Wanafunzi wa shule ya Sekondari Onicah iliyopo Mbalizi wametoa msaada wa vyakula lishe kwa baadhi ya watoto wagonjwa wa utapiamlo waliolazwa katika hospitali ya rufaa ya Watoto kanda ya Mbeya. Wakizungumzana na kituo hiki wanafunzi hao wamesema…
16 October 2023, 17:04
Wananchi washauriwa kuongeza kasi ya ulaji vyakula vyenye protini
Serikali imeendelea kusisitiza suala la ulaji wa vyakula na unywaji wa maziwa ili kufikia matarajio ya umoja wa mataifa wa ulaji wa vyakula. Na, Josephine Kiravu Wananchi Mkoani kigoma wametakiwa kuongeza kasi ya ulaji wm vyakula vyenye protini na unywaji…
28 September 2023, 14:47
Wadau wa tasnia ya Maziwa Nchini watakiwa kupunguza bei ya maziwa
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewaomba wadau wa tasnia ya maziwa nchini kupunguza bei ya maziwa ya Shs 1800 kwa nusu lita ili Mpango wa Unywaji Maziwa kwa watoto wote shuleni ufikie malengo. Kauli hiyo imetolewa jana kwenye…
26 September 2023, 4:07 pm
Wanawake washauriwa kuzingatia kanuni za unyonyeshaji
Wanawake wazingatie kanuni za unyonyeshaji ili kuwalinda Watoto na magojwa yasio ya kuambukizwa. Na Gladness Richard – Mpanda Wanawake wanaonyonyesha watoto manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameshauriwa kuzingatia kanuni za unyonyeshaji ili kuwalinda watoto na magojwa yasiyo ya kuambukizwa. Maziwa…
18 September 2023, 14:29
Jamii yatakiwa kuzingatia lishe bora
Mara kadhaa Wizara ya Afya pamoja na taasisi mbalimbali za afya nchini zimekuwa zikitoa ushauri kwa jamii kuzingatia ulaji wa lishe bora lengo ikiwa ni kuimarisha afya na kinga ya mwili. Na Diana Massae. Jamii imetakiwa kuzingatia ulaji wa vyakula…
14 September 2023, 18:27
Mkuu wa wilaya Buhigwe awataka wanaume kuacha kunyonya maziwa ya mama
Baadhi ya Wanaume Katika Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, wametuhumiwa Kunyonya Maziwa ya Wenza wao wa Ndoa baada ya kujifungua, hali ambayo imechangia watoto kukosa maziwa ya kutosha. Na, Tryphone Odace Mkuu Wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michael…