Kilimo
26 July 2023, 17:42
Serikali yatakiwa kuhamasisha vijana kujikita katika kilimo
Kartika kupunguza changamoto ya ajira na ugumu wa maisha kwa vijana nchini serikali imeendelea kusisitiza juu ya suala la kilimo biashara kwa kuanzisha programu mbalimbali kwa lengo la kuwawwezesha kujikwamua kiuchumi ikiwa ni katika kuanzisha mashamba ya kilimo pamoja na…
25 July 2023, 17:01
Nini siri ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi?
Wakulima wa eneo hilo wanadai kuwa hawapendelei kutumia mbolea katika kilimo cha mpunga. Na Yussuph Hassan. Licha ya watu wengi kuamini kuwa mkoa wa Dodoma ni eneo kame lakini eneo hili linafaa pia kwa kilimo. Wakazi wa wialaya ya Bahi…
25 July 2023, 8:16 am
CPB kununua ngano yote iliyozalishwa Makete
CPB yatangaza kuanza kununua ngano kwa wakulima Makete
24 July 2023, 17:27
Historia kuanzishwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi
Je, kipi kilichangia msukumo wa kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi? Na Yussuph Hassan Tunaendelea kuitazama historia ya wilaya ya Bahi iliyopo mkoani Dodoma na leo tunaangalia historia ya kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani humo.
24 July 2023, 10:09 am
Uelewa bado mdogo Katavi mradi wa BBT
KATAVI. Wananchi na wakulima mkoani Katavi wameonesha kutokuwa na uelewa wowote kuhusiana na mradi wa serikali unaoratibiwa na Wizara ya Kilimo, mradi wa jenga leo kesho iliyo bora maarufu kama (BBT). Wakizungumza na Mpanda Redio FM wameeleza kuwa ni vema…
21 July 2023, 17:25
Historia ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi
Msimuliaji wetu anaendelea kutufahamisha kuanzishwa kwa mashamba haya na lini yalianzishwa. Na Yussuph Hassan. Tunaendelea kuangazia historia ya wilaya ya Bahi na leo tutafahamu historia ya mashamba ya mpinga katika wilaya hii.
14 July 2023, 16:44
Wakulima wa Jangwani Laikala walia kukosa mavuno ya alizeti
Zao la alizeti limekuwa maarufu kutokana na mafuta yake kupendwa na watu wengi kwa sababu hayachanganywi na kemikali yoyote na bei yake imekuwa ikipanda na kushuka lakini Mei 29 2023 Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde alisema Serikali ipo mbioni…
13 July 2023, 9:59 am
Wakulima Chato kunufaika na kilimo cha umwagiliaji
Kutokana na mabadiliko ya tabianchi kusababisha kupungua kwa mvua wilayani Chato mkoani Geita, serikali imekuja na njia mbadala ya kilimo cha umwagiliaji ili kuwakomboa wakulima. Na Mrisho Sadick: Serikali imepanga kuboresha mifumo ya umwagiliaji kwa wakulima wanaoishi pembezoni mwa Ziwa…
12 July 2023, 13:41
Wananchi Bahi watakiwa kutunza chakula
Mara nyingi jamii imekuwa ikishauriwa kuhifadhi sehemu ya mavuno ya mazao ili kusaidia upatikanaji wa chakula cha kutosha katika familia na kuepusha hali ya kuanza kuwa tegemezi kutokana na kuuzwa kwa mazao yote. Na Mindi Joseph. Wakulima Kata zote Wilayani…
11 July 2023, 20:08
Maswa:Mwanri atolea ufafanuzi kuporomoka kwa bei ya zao la Pamba Nchini.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu imeweza kuvuka lengo la uzalishaji wa zao la Pamba kwa msimu wa mwaka 2022/2023 kwa kuzalisha kwa zaidi ya 106.35% ya uzalishaji uliotarajiwa. Na,Alex Sayi. Balozi wa zao la Pamba Nchini Agrey Mwanri…