Kilimo
10 July 2023, 16:20
Wananchi mikoa ya kusini kunufaika na mikopo ya kilimo
Wananchi wa mikoa ya kusini Lindi, Mtwara na Ruvuma wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwepo wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Kanda ya Kusini katika kupata uelewa na utaratibu wa kupata mikopo ili kupata vifaa vya kisasa vitakavyowezesha kuleta…
9 July 2023, 10:53 pm
Matumaini ya kupanda bei ya pamba yazidi kufifia kwa wakulima Simiyu
Tangu kufunguliwa msimu wa pamba mwezi Mei 2023 bei haijaongezeka hata senti moja kutoka bei elekezi iliyotangazwa na serikali shilingi 1,060 kwa kilo moja. Na Edward Lucas Matumaini ya wakulima juu ya ushindani wa bei kwa kampuni za ununuzi wa…
6 July 2023, 16:05
Vijana 300 kunufaika na mradi wa kilimo Bahi
Vijana wametakiwa kuimarisha vikundi vyao kwani tayari vimesajiliwa na vinatambulika kisheria. Na. Bernad Magawa Vijana 300 wilayani Bahi watanufaika na mradi wa kilimo kwanza unaowashirikisha vijana kutekeleza shughuli za kilimo kupitia Mashamba Darasa ili kusaidia jamii kuwa na uhakika wa…
3 July 2023, 12:17 pm
Upungufu wa chakula: Wananchi watakiwa kuhifadhi mazao ya chakula
Wananchi wa halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameaswa kuhifadhi mazao katika msimu huu ili kuepuka uhaba wa chakula. Na Sebastian Mnakaya Wananchi wa halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuhifadhi mazao ya chakula kutokana na upungufu…
1 July 2023, 6:32 pm
Kampuni za tumbaku zatakiwa kuwalipa wakulima kwa wakati
Serikali imetakiwa kuhakikisha kampuni zinazonunua tumbaku za wakulima wanalipwa kwa wakati. Rai hiyo imetolewa na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora na mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa Hassan Wakasuvi. Akitolea ufafanuzi wa…
28 June 2023, 14:50
Pembejeo za ruzuku zawafikia wakulima Mtwara
Mchakato wa ugawaji wa pembejeo ya ruzuku kwa wakulima wa zao la korosho umeanza kuwafikia wakulima katika maeneo mbalimbali nchini. Akizungumzia mchakato huo Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania Ndugu Francies Alfred amesema kuwa kwa miaka miwili iliyopita ugawaji…
27 June 2023, 19:37
AMDT yawakutanisha wabunge wa Lindi, Mtwara kujadili zao la alizeti
Taasisi ya kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Tanzania katika kuinua sekta ya kilimo nchini, imeamua kuanza na mikoa ya Lindi na Mtwara kulifanya zao la alizeti kuwa zao la kimkakati katika mikoa hiyo. Na Mindi Joseph. Zao la alizeti…
27 June 2023, 16:38
Kilimo cha umwagiliaji chachu uhakika wa chakula
Mwema ametumia nafasi hiyo kuwahamasisha wananchi kujiingiza kwenye kilimo cha umwagiliaji ili kusaidia upatikanaji wa chakula kwa wingi na kwa uhakika. Na Bernadetha Mwakilabi. Mwakilishi wa shirika la chakula duniani (WFP) nchini Tanzania Bi Sarah Gordon- Gibson amesema kuwa kilimo…
25 June 2023, 17:28
Wakulima Lumuma wanufaika elimu uhifadhi vitunguu kidijitali kupitia mradi wa AO…
Wakulima wa vitunguu kushindwa kunufaika na kilimo cha vitunguu kunatokana na kukosa ujuzi wa kuhifadhi mazao hivyo huwalazimu kuyauza kipindi ambacho mazao mengi yanakua sokoni. Unapotumia njia ya kidigitali ya uhifadhi wa vitunguu utakusaidia kuwa usalama wa mazao yako na…
21 June 2023, 16:10
Wakulima washauriwa kutumia mbolea ya mboji kuzalisha mazao yenye ubora
Katika kuhakikisha thamani ya mazao yanayolimwa wilayani Kilosa inaongezeka sokoni ni wajibu kwa wakulima kutumia mbolea za mboji na kuzalisha mazao yasiyo na kemikali za mbolea ya viwandani ambayo mazao hayo yanauzwa kwa gharama kubwa katika masoko ya nje. “Acheni…