Radio Tadio

Jamii

15 August 2023, 10:05 am

Mrindoko ‘Jiandaeni Kupokea Mwenge’

KATAVIMkuu wa mkoa wa katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewataka wananchi mkoani katavi kujiandaa na mapokezi ya mwenge wa uhuru ambao unatarajiwa kupokelewa August 24 katika shule ya msingi vikonge wilaya ya Tanganyika.Ametoa taarifa hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari…

13 August 2023, 4:40 pm

Wazazi wa kiume watakiwa kutenga muda kwa ajili ya watoto wao

Katika kuhakikisha watoto wanakuwa kwenye maadili, wazazi hawana budi kutenga muda wa kuwasikiliza na kuwa karibu nao ili kujenga jamii bora ya badae. Na. Is-haka Rubea Wazazi na Walezi wameombwa harakati zao za kutafuta maisha zisiwanyime muda wa kukaa na…

13 August 2023, 4:08 pm

Kituo cha polisi Tumbatu kwa mara ya kwanza

Kituo hicho cha polisi Tumbatu chenye hadhi ya daraja ā€œcā€ kinatarajiwa kuwa mkombozi kwa wananchi wa kisiwa hicho. Na Said Bakari. Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amesema kukamilika kwa mradi wa kituo cha Polisi katika Kisiwa cha Tumbatu kutapelekea…

8 August 2023, 11:16 AM

Upendo Charity wamfariji Bibi Sabra

Wanakikundi  wa  Upendo Charity, kinachopatikana katika halamshauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara, wameshiriki kufanya matendo ya huruma kwa kutoa maziwa ya Lactojeni dazeni moja na nguo za kujikinga na baridi kwa mtoto Sabra  aliyezaliwa hivi karibuni katika Hospitali ya…

7 August 2023, 11:13 am

Wananchi Micheweni watakiwa kushirikiana na Polisi Jamii

Kamishina Msaidizi wa polisi Dkt Emmanuel amesema bado kuna mwamko mdogo kwa wananchi wa micheweni katika kushirikiana na polisi jamii. Na Omary Hassan. Mkuu wa Polisi jamii Zanzibar, Kamishna Msaidizi wa Polisi Dkt. Egyne Emmanuel awewataka wananchi kuzitumia kamati za…

4 August 2023, 17:04

Sekta binafsi zatakiwa kutenga fedha kwa ajili miradi ya maendeleo

Mashirika yasiyo ya kserikali yametakiwa kuhakikisha wanatumia fedha za wafadhili katika kutekeleza miradi ya maendeleokwenye maeneoyao. Na Lucas Hoha Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishina Mstaafu wa Jeshi la zimamoto na uokoaji Thobias Andengenye amezitaka Sekta binafisi kutenga fedha kwa…

2 August 2023, 01:11

Wakimbizi waishio kambi ya Nyarugusu wagoma kurudi kwao Burundi

Serikali nchini Tanzania imesema itaendelea kuhamasisha wakimbizi waliopo katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu kurudi nchini Burundi kutokana na amani iliyopo kwa sasa. Wakimbizi wanaoishi katika kambi ya Nyarugusu iliyopo mkoani Kigoma nchini Tanzania wameiomba serikali ya Burundi kutatua matatizo ya…

31 July 2023, 6:33 pm

Wazazi, walezi watakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu

Jamii imeendelea kusisitizwa kutowaficha watoto wenye changamoto ya ulemavu wowote bali iwaweke wazi ili waweze kupatiwa mahitaji ya msingi ikiwemo elimu. Na Pius Jayunga. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amewataka wazazi na…