Radio Tadio

Jamii

11 January 2024, 17:42

Kyela:Vitambulisho 36 elfu vya utaifa vyatolewa na NIDA Kyela

Baada ya serikali kutoa vitambulisho vya utaifa vya NIDA kwa wilaya ya Kyela wananchi wilayani hapa wamesusia kuchukua vitambulisho hivyo licha ya serikali kutumia nguvu kubwa katika kuwahamasisha. Na James Mwakyembe Siku chache baada ya mkuu wa wilaya ya Kyela…

6 January 2024, 10:21 pm

Mbunge Saashisha Mafuwe amlilia katibu wake

Aliyekuwa katibu wa mbunge jimbo la Hai Mwl. Benson Lema azikwa kijijini kwao Nronga – Machame. Na Elizabeth Mafie Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe wameshiriki katika ibada ya maziko ya aliyekuwa katibu wake…

2 January 2024, 18:54

Dkt. Tulia afanya tendo la huruma kwa wakazi wa Rungwe

Na mwandishi wetu Spika wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Tulia Akson Mwansasu kupitia asasi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust amekabidhi nyumba mbili pamoja na kiti mwendo kwa wakazi wawili wenye mahitaji maalumu katika kata ya Kisondela…

28 December 2023, 18:20

Jamii yatakiwa kuondokana  na imani potofu

na Mwandishi wetu,Songwe Wanakijiji wa kijiji ya Hangomba wilayani Mbozi wametakiwa kuachana na imani potofu za kishirikina ikiwemo ramli chonganishi pamoja na unywaji wa pombe uliopindukia. Kauli hiyo imetolewa Disemba 17, 2023 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna…

21 December 2023, 9:52 pm

HRT watoa msaada kwa wanafunzi wenye uhitaji

Chama cha ushirika wa akiba na mikopo Hai Rural Teachers SACCOS (HRT) wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kimetoa msaada wa sare za shule kwa wanafunzi wenye uhitaji kutoka shule 16 za wilaya ya Siha. Na Elizabeth Mafie Chama cha Ushirika wa …