Radio Tadio

Habari

17 October 2023, 14:25 pm

Siku ya mwanamke anayeishi kijijini

Suala la ukatili bado linaendelea  katika jamii huku suala la undugu likiwa kikwazo kutokomeza, wanajamii wamekuwa wakifichiana matukio hayo hasa  rushwa ya ngono katika maeneo ya kazi na taasisi za elimu. Na Musa Mtepa Wananchi  mkoani Mtwara wametakiwa kukomesha vitendo…

29 September 2023, 23:09

Mch. Mwakipesile ahukumiwa miaka 3 jela

Kila nchi inaendeshwa kwa mujibu wa taratibu na sheria na katika sheria hakuna ambaye anakuwa juu ya sheria, hivyo kila mtu anapaswa kuheshimu taratibu na kuheshimu sheria. Na Josea Sinkala Mahakama ya Hakimu mkazi Mbeya imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka…

28 September 2023, 4:42 pm

MCT yakiri kukinzana kwa sheria ya matumizi sahihi ya mitandao

Hali hiyo imekuwa ikikinzana  na Sheria ya haki ya kupata Taarifa  ambayo inatoa wigo kwa wananchi kuwa huru kupata taarifa ambazo hazijazuiliwa kisheria. Na Seleman Kodima. Pamoja na Serikali kuhimiza Matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii, Baraza la Habari Tanzania…

22 September 2023, 2:53 pm

Mara waikubali ZUKU, waipokea kwa mikono miwili

Wananchi wa mkoa wa Mara wameoneshwa kuridhishwa na huduma ya king’amuzi cha ZUKU kutokana na ubora wake wa muonekano wa picha. Na Thomas Masalu Wananchi wa mkoa wa Mara wameoneshwa kuridhishwa na huduma ya king’amuzi cha ZUKU kutokana na ubora…

September 19, 2023, 2:37 pm

Serikali kujenga shule ya sekondari mpya Ushetu

SERIKALI Kuu imetoa Sh milioni 603.8 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari katika kijiji cha Ngilimba kata ya Ulowa Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Hatua hiyo itawanusuru wanafunzi kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 10 kuelekea…