Habari
22 October 2026, 8:13 pm
Sirro aagiza huduma bora za afya Kigoma kupitia bima kwa wote
Ushirikiano wa viongozi ni muhimu kuhakikisha wananchi wanapata matibabu wanapoyahitaji. Na.Rehema Iddi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amewaagiza viongozi na watumishi wa umma kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za afya kupitia Mpango wa Bima ya Afya kwa…
22 October 2026, 5:26 pm
Udhibiti wa magonjwa ya mlipuko Uvinza wajadiliwa.
Tekelezeni majukumu yenu kwa ufanisi, kwakuimarisha ufuatiliaji wa magonjwa ya mlipuko na kutoa elimu sahihi kwa wananchi kuhusu namna ya kujikinga na magonjwa ya mlipuko. Na. Abdunuru Shafii Katibu Tawala wa Wilaya ya Uvinza, Ndg. James Mkumbo, akimwakilisha Mkuu wa…
20 October 2026, 11:26 am
Wananchi Kigoma kunufaika na matibabu bingwa na bobezi
Wananchi wa Kigoma wamepata fursa muhimu ya kuwaona wataalamu wa afya na kupata matibabu karibu na maeneo yao. Na Rehema Iddi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Nyakoro Sirro, amezindua rasmi Kambi ya Matibabu ya Madaktari Bingwa na Bobezi…
19 October 2026, 15:44
SAWAKA kutumia mabaraza kudai haki za wazee Kagera
Shirika la kusaidia wazee mkoani Kagera SAWAKA wanatekeleza mradi wa kuimarisha mabaraza ya wazee ili yatumike kama majukwaa ya kupaza sauti kushawishi serikali na wadau wa maendeleo watoe haki na stahiki za kundi hilo maalum katika jamii. Mradi huo wa…
12 October 2026, 13:24
DC Kyerwa ahimiza usafi kuepuka madhara ya mvua za El Nino
Usafi wa mazingira ni muhimu katika kulinda afya ya jamii,kuzuia magonjwa ya mlipuko na kuimarisha ustawi wa uchumi na maumbile ya asili Na: Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Zaitun Msofe aongoza zoezi la usafi wa mazingira na kuwatolea…
8 October 2026, 9:45 pm
Elimu ya madhara ya ukatili wa kijinsia shuleni
mradi huo unatekelezwa katika maeneo matatu makuu ambayo ni masuala ya kijinsia, elimu ya sekondari pamoja na ujuzi na ujasiriamali. Na. Rehema Iddi Shirika la Maendeleo la Ubelgiji (ENABEL), kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, limewazawadia…
6 October 2026, 8:53 am
Wahamasishwa kuandika habari za wenye ulemavu
Habari za watu wenye ulemavu zinahitaji sauti zaidi! Wandishi wahamasishwa kutumia kalamu zao kuibua haki, changamoto na mafanikio yao. Na Samwel Mpogole Wandishi wa habari kutoka redio jamii kumi za mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, wamehamasishwa kuongeza uandishi wa…
11 September 2026, 18:41
Maelfu kushiriki bonanza la Kijini Shangwe 2026
Bonanza la Kijini Shangwe 2026 linatarajiwa kuwakutanisha zaidi ya washiriki 3,500, likiongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, kama mgeni rasmi. Tukio hilo litajumuisha michezo, matembezi ya kilomita 5, burudani na fursa za kiuchumi kwa…
8 September 2026, 12:51
Kilombero kinara uhalifu mtandaoni
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema Mkoa wa Morogoro umeripoti matukio 2,129 ya uhalifu wa mtandao, huku Wilaya ya Kilombero ikiongoza kwa kuripoti matukio 1,780. Na Kuruthum Mkata Akizungumza katika mkutano wa wadau wa mawasiliano, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi…
30 July 2026, 11:25 am
Kilomita 20 za mateso za wasukuma Olmesera kujenga shule
Wananchi wa kitongoji cha Olmesera kijiji cha Manyire kata ya Mlangarini mkoani Arusha ,wameamua kuchangishana shilingi elfu 70 kwa kila mwanakitongoji ili kuweza kununua eneo ambalo watajenga shule ya msingi na sekondari kwa ajili ya watoto wa kitongoji hicho. Na…