Radio Tadio

Habari

5 May 2021, 16:31 pm

Wafanyabiashara wa Soko la Chuno, wafanya vurugu

Na Gregory Millanzi Wafanyabiashara katika soko la Chuno Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wameilalamikia serikali kuruhusu wafanyabiashara wa soko la sabasaba kufanya Biashara katika soko hilo ambalo mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa aliamuru biashara zote za jumla…

5 May 2021, 12:26 pm

Zahanati ya mbawala chini kufunguliwa leo

Na Karim Faida Mganga mkuu wa Manispaa ya Mtwara mikindani Dkt Joseph Kisala amesema leo Mei 5 2021 wanatarajia kufungua zahanati ya mtaa wa Mbawala chini iliyopo kwenye kata ya Naliendele Manispaa ya Mtwara mikindani mkoani Mtwara ili kuwarahisishia wananchi…

3 May 2021, 12:40 pm

Viongozi, wapeni ushirikiano waandishi wa habari

Na Karim Faida Waandishi wa habari mkoa wa Mtwara wamekuwa wakikosa ushirikiano kutoka kwa baadhi ya viongozi wa serikali pale wanapohitaji Kuweka mizania ya habari zao huku sababu ikiwa ni kuhofia kupoteza nafasi zao za kazi. Hayo yamesemwa leo katika…

2 May 2021, 19:54 pm

Watoto 41,339 kupata chanjo Mtwara

Na Gregory Millanzi Mkoa wa Mtwara unatarajia kuwapatia chanjo watoto 41,339 wenye umri wa kati ya mwezi 1 mpaka miezi 18 kwa mwaka 2021 ili kufikia lengo na kuhakikisha jamii inakuwa salama dhidi ya magonjwa yanayoepukika kwa chanjo.Akizungumza na Jamii…

8 April 2021, 19:35 pm

Wananchi hameni

Wananchi waishio Kando ya bwawa la Kijiji Cha Msakala, kata ya Ziwani Mtwara Vijijini Jana Tarehe 07 Aprili, 2021 wametakiwa kuondoka mara Moja kuepuka kadhia ya kuharibiwa Makazi yao pindi bwawa linapojaa. Maagizo hayo yametolewa na Mkuu wa Wilaya ya…

29 March 2021, 5:55 am

CAG, TAKUKURU Zaagizwa kufanya uchunguzi BOT

Na; Mariam Kasawa. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kushirikiana kwa pamoja kuchunguza fedha zilizotoka Benki kuu ya Tanzania kwa kipindi cha Januari…