Radio Tadio

Habari

27 March 2023, 12:23

Tree of Hope wabaini haya Pangani

Shirika lisilo la Kiserikali TREE OF HOPE lenye makao yake makuu jijini Tanga limekutana na wadau wa elimu katika vijiji vya Ubangaa, Stahabu, Kipumbwi na Mkalamo katika mdahalo uliolenga kujadili changamoto za elimu wilayani Pangani. Akizungumza na Pangani FM baada…

27 March 2023, 11:18

Kipindi: Elimu ya ugonjwa surua na rubella

Na Gregory Millanzi, Mwanahamisi Chikambu na Mussa Mtepa Utoaji wa chanjo ya surua na rubella kwa watoto umeanza kwa awamu ya dharula baada ya uwepo wa mlipiko wa magonjwa hayo ambayo yanawaadhiri watoto. Kupitia kipindi cha dira ya asubuhi tumewapata…

24 March 2023, 13:15

Viongozi watakiwa kusimamia ipasavyo miradi ya serikali

Bi Fatma Mganga amekabidhi ofisi hiyo baada ya kuhamishwa kwenda kuwa Katibu tawala mkoani Singida. Na Alfred Bulahya. Aliyekuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bi, Fatma Mganga, amekabidhi ofisi kwa katibu Tawala mpya  Bw. Ally Gugu. Katika makabidhiano hayo…

24 March 2023, 09:16

Siku ya Kifua Kikuu Duniani 2023

Leo ni siku ya Kifua Kikuu au TB duniani kwa mujibu wa Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma jijini Dar es Salaam, Dkt. Mbarouk Seif Khaleif amesema kila mwaka, Watu 137,000 wanaugua Kifua Kikuu (TB) na wanaofariki ni 32,000, sawa…

18 March 2023, 5:52 pm

Huduma za Rita sasa ni mtandaoni.

Wakala wa ufilisi na udhamini nchini rita umekamilisha hatua ya kwanza ya mfumo wa usajili wa matukio mbalimbali ya binadamu ikiwemo vizazi , vifo , ndoa na taraka kupitia mtandao ambao unajulikana kama E RITA jambo litakalorahisisha upatikanaji wa huduma…