Habari za Jumla
4 Aprili 2024, 13:07
Kyela:Kishindo maadhisho ya wiki ya jumuiya ya wazazi Kyela Bondeni A yang’ara
Wakati chama cha mapinduzi ccm taifa kikiadhimisha wiki ya jumuiya ya wazazi wananchi wilayani kyela wametakiwa kusimamia kikamirifu suala la maadili na kutunza mazingira. Na Nsangatii Mwakipesile Maadhimisho ya wiki ya jumuiya ya wazazi wilayani kyela yamefanyika kwa kufanya usafi…
4 Aprili 2024, 11:56
Jela miaka 30 Kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wake
Mbaroni Kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wake
4 Aprili 2024, 10:17
Madaktari bigwa kuweka kambi Mbeya,wananchi kunufaika
Unapokuwa na afya njema inakupa kuwa na mwendelezo wa kutimiza majukumu yako ikiwemo yale ya kiuchumi na yakijamii. Na Ezra Mwilwa Hospital ya Rufaa kanda ya Mbeya Imeandaa kambi maalumu ya upasuaji wa Ubongo, Uti wa mgongo na Mishipa ya…
3 Aprili 2024, 17:05
Mkoa wa Manyara wapaa mashindano Tajwid
Shekhe Kadidi aipongeza BAKWATA kwa kuuheshimisha mkoa wa Manyara Na mwandishi wetu Hawa Rashid Shekhe mkuu wa mkoa wa Manyara Mohamed Kadidi amelishukuru baraza kuu la wa Islam Tanzania BAKWATA kwa kuuheshimisha mkoa wa Manyara katika mashindano yakusoma Quraan tukufu…
3 Aprili 2024, 12:19
Halmashauri ya Songwe yaendelea kuhamasisha mfumo wa stakabadhi ghala kijiji kwa…
Timu maalumu ya mfumo wa stakabadhi ghala inafanya uhamasishaji ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya faida ya mfumo wa stakabadhi ghala ikiwa ni maandalizi ya msimu wa mavuno wa 2023/2024. Na mwandishi wetu Timu maalumu ya uhamasishaji wa mfumo…
3 Aprili 2024, 11:58
Ujenzi wa Mabwawa ya kuvuna maji ya mvua yatasaidia kuondoa Mafuriko- Ifakara
“Maelekezo ya Mh Rais Samia Suluhu Hassani kwa Wizara ya maji na sekta zake ni kuhakikisha wanajenga mabwawa ya kimkakati ya kuvuna maji ya mvua ili kuzuia mafuriko”=Waziri wa Maji Mh,Juma Aweso Na Elias Maganga Wizara ya maji imesema leo…
3 Aprili 2024, 10:20 mu
DC KAMINYOGE ; Wananchi Jitokezeni kwenye Mikutano ya Hadhara
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe, Aswege Enock Kaminyoge amewataka Wananchi wilaya hapo kujitokeza kwa Wingi katika Mikutano ya Hadhara inayoitishwa na Viongozi wao wa Vijiji na kata ili kutoa kero zao na changamoto mbalimbali zinazowakabiri. Mh Kaminyoge …
2 Aprili 2024, 15:43
Dkt. Biteko aipongeza Tanesco kurejesha umeme
“Hakuna mgao wala upungufu wa umeme kwa sasa hiki kilichotokea ni hitilafu kwenye mitambo ya kuzalisha umeme” Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko Na Elias Maganga Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amelipongeza shirika la…
2 Aprili 2024, 3:13 um
Akatwa mapanga usiku akienda kwenye mkesha wa pasaka
Mtu asiyejulikana amemjeruhi kwa mapanga mwanamke anayejulikana kwa majina ya Mariam Sebagi mkazi wa mtaa wa Misheni usiku akiwa na wenzake wakielekea kwenye mkesha wa Pasaka mjini Sengerema. Na:Emmanuel Twimanye Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Mariam Sebagi mkazi wa…
2 Aprili 2024, 10:46 mu
Ngorongoro yaguswa na bilioni 2.5 za TASAF Arusha
Serikali imekuwa ikiendelea na mpango wa kuzinusuru kaya masikini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF kwa halmashauri zote zilizo kwenye mpango huo, halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro ikiwemo. Na mwandishi wetu. Jumla ya shilingi bilioni 2.5 zimegawiwa na serikali kwa…