Radio Tadio

Habari za Jumla

16 April 2024, 10:17 am

Jukwaa la Wadau wa Parachichi

Na Jackson Machowa-Mufindi Wakulima wa zao la parachichi wilayani Mufindi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika mnyororo wa thamani ya zao hilo wameungana na kuunda jukwaa la pamoja la zao hilo ili kupaza sauti itakayosaidia kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali…

16 April 2024, 10:04

Mfumo wa stakabadhi ghalani kuwanufaisha wakulima Simiyu

  Na Nicholaus Machunda Wakulima Mkoani Simiyu wapata mwarobaini wa bei ya mazao baada ya kilio cha muda mrefu cha kukosa soko la uhakika Wananchi  Mkoani  Simiyu  Wameishukuru  Serikali  Kuruhusu  kuuza  Mazao  yao  ya  Nafaka  kupitia  Mfumo  wa  Stakabadhi  Ghalani …

16 April 2024, 9:46 am

Kipagalo watakiwa kujitoa kwa moyo utekelezaji wa miradi

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Fungo, amewataka wakazi wa kata ya Kipagalo kujitoa kwa moyo katika ujenzi wa kituo cha Afya cha kata hiyo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Y. Fungo, leo…

16 April 2024, 7:13 am

Nape Nnauye awataka wananchi Ngorongoro kusimama na Samia

Baadhi ya wananchi wachache katika mitandao ya kijamii wamekuwa wakiitumia mitandao yao vibaya ikiwemo kuwatukana na kuwachafua viongozi wa nchi kwenye mitandao hiyo kinyume na matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii,hivyo viongozi wa serikali wamekuwa wakiwasisitiza kuacha kufanya hivyo kwani…

15 April 2024, 22:00

Neema kuwashukia watoto yatima Kigoma

Jamii wilayani Kasulu mkoani Kigoma imetakiwa kutowaficha watoto wao wenye uhitaji maalum ili wapate elimu bora itakayowasaidia katika maisha yao. Na, Hagai Luyagila Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa maafisa elimu maalum nchini Tanzania Issa Kambi wakati wa hafla ya utoaji…

15 April 2024, 15:29

Akutwa amefariki bwawani Kigoma

Wananchi wakawa pembezone mwa bwawa la Katubuka kushuhudia mwili wa mtu aliyetwa amefariki Wananchi wameomba Serikali ya Mkoa wa Kigoma kwasaidia wananchi kuchukua hatua dhidi ya bwawa la Katubuka ambalo limeendelea kuchukua maisha ya watu kutokana na maji kuja na…

15 April 2024, 12:37

Wananchi walalamikia ubovu wa stendi ya mabasi Kibondo

Wananchi pamoja na Madereva wa vyombo vya moto Wilayani Kibondo mkoani Kigoma, wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya stendi ya mabasi wilayani humo, hali inayopeleeka kukwama vyombo vya moto vikiwa stendi hasa kipindi cha masika, na kuomba hatua za halaka zichukuliwe…