Radio Tadio

Habari za Jumla

26 Machi 2024, 15:38

Wananchi wafurahia utekelezaji wa miradi ya elimu Kakonko

Wakazi wa Kata ya Kanyonza katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, wameishukuru serikali ya  awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kujenga shule ya sekondari ya wasichana ya bweni na ambayo itatoa fursa kwa mabinti…

26 Machi 2024, 09:31

Wananchi wapigwa marufuku kuuza mazao kiholela

Akiba ni msingi wa maendeleo,Mkoa wa Songwe ni moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini inayosifika katika uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara,kumekuwa na tabia ya baadhi ya wananchi kusahau kesho yao pale wanapovuna mazao na wanajikuta wanauza…

26 Machi 2024, 09:06

Kamchape yawa tishio kwenye jamii Kigoma

Jamii wilayani Kasulu mkoani Kigoma imeaswa kupinga na kukemea huduma zinazotolewa na wapiga ramli chonganishi maarufu kwa jina la Kamchape ama lambalamba kwani wanasababisha kuvuruga amani hali inayosababisha madhara makubwa katika wananchi. hii hapa ni ripoti yake Hagai Ruyagila

25 Machi 2024, 5:31 um

Mafuriko yaua mtu mmoja Ifakara

Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara wametakiwa kuwa makini katika kipindi hiki cha mafuriko na pia wazazi wanapaswa kuwaangalia watoto wao wasiwaache kwenda kuchezea maji kwani wanaweza kupoteza maisha Na Elias Maganga Baadhi ya maeneo katika Halmashauri ya Mji…

25 Machi 2024, 14:54 um

Kamati ya Bunge yaipongeza Serikali umiliki wa Gesi Asilia

Kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa mitaji ya umma imeipongeza serikali kwa kuchukua hatua ya kuwasomesha vijana wa kitanzania nje ya nchi ambao kwasasa ndio wanao simamia mitambo ya kuchakata na kuzalisha Gesi Asilia katika kjiji cha Madimba…

24 Machi 2024, 09:04

Ujenzi Stendi ya Chimbuya Songwe kukamilika mwezi mei 2024

Baada ya kilio cha stendi ya kuegesha magari ya mizigo songwe hatimaye swala hilo limepatiwa ufumbuzi Na Ezra Mwilwa Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Songwe, Mhandisi Suleiman Bishanga amesema Matengenezo ya mahali pa kuegesha malori eneo…