Habari za Jumla
17 Aprili 2024, 10:49 mu
DC Maswa ataka ushirikishwaji wa sekta binafsi kuleta maendeleo
Sekta binafsi ni mdau muhimu sana wa maendeleo katika kuwaletea maendeleo wananchi wetu, nendeni mkashirikiane nao, sikilizeni changamoto zao na kuzitatua. Na, Daniel Manyanga Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Aswege Kaminyoge amezitaka sekta binafsi na sekta za umma…
Aprili 17, 2024, 6:24 mu
Maafisa ugani watakiwa kusimamia zao la ngano Makete
katika kusimamia na kutekeleza kwa vitendo mpango wa Serikali wa kufungua fulsa za kiuchumi katika Wilaya ya Makete maafisa ugani wametakiwa kusimamia kilimo cha zao la ngano kwalengo la kuleta tija kiuchumi kwa wananchi wa Wilaya ya Makete. Na Aldo…
16 Aprili 2024, 7:32 um
Itilima wakosa huduma ya maji safi na salama kwa wiki tatu
Watembea umbali wa kilomita 3 kufuata huduma ya maji safi na salama kufuatia mota ya kusukuma maji kuungua kijijini hapo. Na. Daniel Manyanga Wananchi wa vijiji vya Mlimani na Zanzui vilivyopo wilayani Itilima mkoani Simiyu wakosa huduma ya maji safi…
16 Aprili 2024, 16:58
Dkt.Nchimbi atua Mbeya kwa kishindo
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt. Emmanuel Nchimbi ameendelea na ziara yake ya mkoa kwa mkoa na sasa ametua mkoani Mbeya baada ya kutoka kwenye ziara katika mikoa ya Katavi,Rukwa na Songwe. Na Hobokela Lwinga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya…
16 Aprili 2024, 15:50
Chunya yaanza maandalizi mapokezi ya mwenge wa uhuru
Maandalizi yaendelea wilaya ya Chunya kupokea mbio za mwenge wa uhuru utakaopokelewa mwezi wa nane mkoani Mbeya mwaka huu. Na Hobokela Lwinga Mkuu wa wilaya ya Chunya Mhe. Mbarak Alhaji Batenga, mapema leo amefungua kikao kazi cha maandalizi ya mbio…
16 Aprili 2024, 15:34
Kambi ya madaktari bigwaa Mbeya yaleta furaha kwa wananchi
Wananchi mkoani Mbeya wamepata huduma za matibabu bure kupitia Hospitali ya Kanda ya Rufaa Mbeya. Na Ezra Mwilwa Kutokana na ushirikiano wa wataalamu wa Afya kutoka Hospital ya Taifa Mhimbiri kuweka kambi Mbeya matunda ya kambihiyo, wananchi 280 wamenufaika Dkt.…
16 Aprili 2024, 15:28
Wakristo watakiwa kuchangia damu kusaidia wagonjwa wenye uhitaji
Jamiii imetakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuwezesha banki ya damu kuwa na akiba ya kutosha. Na Anna Mbwilo Waumini wa kanisa la TAG Nzovwe jijini Mbeya wametakiwa kuchangia damu kwa lengo la kuiwezesha benki ya damu kuwa na akiba…
16 Aprili 2024, 10:17
Jukwaa la Wadau wa Parachichi
Na Jackson Machowa-Mufindi Wakulima wa zao la parachichi wilayani Mufindi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika mnyororo wa thamani ya zao hilo wameungana na kuunda jukwaa la pamoja la zao hilo ili kupaza sauti itakayosaidia kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali…
16 Aprili 2024, 10:04 mu
Mfumo wa stakabadhi ghalani kuwanufaisha wakulima Simiyu
Na Nicholaus Machunda Wakulima Mkoani Simiyu wapata mwarobaini wa bei ya mazao baada ya kilio cha muda mrefu cha kukosa soko la uhakika Wananchi Mkoani Simiyu Wameishukuru Serikali Kuruhusu kuuza Mazao yao ya Nafaka kupitia Mfumo wa Stakabadhi Ghalani …
Aprili 16, 2024, 9:46 mu
Kipagalo watakiwa kujitoa kwa moyo utekelezaji wa miradi
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Fungo, amewataka wakazi wa kata ya Kipagalo kujitoa kwa moyo katika ujenzi wa kituo cha Afya cha kata hiyo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Y. Fungo, leo…