Habari za Jumla
3 May 2024, 7:28 am
CWT Songwe yawanyima sare walimu siku ya Mei Mosi
Na Denis Sinkonde,Songwe Zaidi ya walimu 5000 wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Songwe wamelalamikia uongozi wa chama hicho taifa kushindwa kuwanunulia sare kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambayo mkoani Songwe yamefanyika wilayani…
3 May 2024, 00:27
Kikokotoo bado fumbo kwa watumishi wastaafu
Bango la shirika la Posta katika maandamano ya Mei Mosi – Picha na Isidory Matandula Mishahara duni, miundo mbinu mibovu, mikataba mibovu ya ajira, kuchelewa posho za uhamisho na kikokotoo cha wastaafu ni msalaba unaowaelemea watumishi . Na: Isidory Matandula…
2 May 2024, 19:30
Kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ni kubadili tabia-Kipindi
Jamii imetakiwa kubadili tabia katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ili kuzuia athari zitokanazo na uharibifu wa mazingira ya asili. Afisa Mazingira kutoka Idara ya Mazingira na Maliasili Halmashauri ya Mji wa Ifakara Salome Mayenga ameyasema hayo wakati akizungumza na…
2 May 2024, 19:23
Ujangili unakuingiza kwenye makosa ya jinai-Kipindi
Jamii katika Bonde la Kilombero imetakiwa kufuata sheria zilizowekwa katika kuvuna rasilimali mbalimbali badala ya kufanya ujangili hali ambayo watajikuta wakiangukia kwenye makosa ya jinai. Mhifadhi Pori la Akiba Kilombero Kamanda Bigilamungu Kagoma amesema ili mtu aweze kuvuna rasilimali zinazosimamiwa…
2 May 2024, 17:02
Wananchi wajenga shule kunusuru watoto wao na mimba
Serikali imesema itaendelea kusaidiana na wananchi katika kuhakikisha wanafanikisha utoaji wa huduma muhumu ikiwemo kujenga shule ili kutatua changamoto za wanafunzi kutembea umbali mrefu kutafuta elimu katika kijiji kingine. Na Michael Mpunije – Buhigwe Wananchi wa kijiji cha Nyankoronko kata…
2 May 2024, 12:25
Wananchi kufikishwa mahakamani waliohujumu eneo la uwekezaji
Serikali wilayani kibondo imesema itaendelea kuwachukulia hatua wanaokiuka taratibu za uwekezaji kwa kuvamia maeneo yanayokuwa yamepangwa kwa ajili ya uwekezaji. Na James Jovin – Kibondo Halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma inapanga kuwaburuza mahakamani baadhi ya wananchi wa vijiji…
2 May 2024, 11:58
Viongozi idara za Moravian zapewa elimu kupinga ukatili
Utaratibu wa kanisa Moravian Ni kuhakikisha idara zake zinakuwa sehemu ya kuungana na jamii kupinga masuala ya ukatili yanayofanywa kwenye jamii. Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini kupitia Idara yake ya Ustawi wa jamii Inaendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo…
2 May 2024, 11:26
TRA Kigoma yakamata bidhaa feki
Serikali kupitia mamlaka ya mapato imewataka wananchi na wadau mbalimbali ili kusaidia kukabiliana na wimbi la uingizwaji wa bidhaa feki Nchini. Na Lucas Hoha – Kigoma Mamlaka ya mapato Tanzania TRA, Mkoa wa kigoma imekamata bidhaa mbalimbali ikiwemo vipodozi na…
2 May 2024, 09:46
Serikali kuboresha miundombinu ya elimu Iringa
Serikali inatambua haki ya kila mtu kupata elimu na hivyo inawekeza katika kuweka mifumo na miundombinu stahiki ya kielimu Kwa ajili ya wanafunzi nchini. Na Joyce Buganda Serikali imedhamiria kuendelea kuimarisha sekta ya elimu Kwa kuimarisha miundombinu na kuboresha stahiki…
1 May 2024, 11:59 pm
Wafanyakazi mkoani Katavi watoa ya moyoni
Miongoni mwa wafanyakazi waliofika katika viwanja vya Kashaulili kusherehekea maadhimisho ya siku hiyo .picha na Ben Gadau “waajiri wasiopeleka makato katika taasisi zinazopaswa kupeleka fedha hizo wanavunja sheria “ Na Ben Gadau -Katavi Wafanyakazi mkoani Katavi wamelalamikia adha ya waajiri…