Radio Tadio

Habari za Jumla

26 April 2024, 2:59 pm

Wanafunzi kumaliza vitendo vya ukatili shuleni

Vijana wametakiwa kuwa msitari wa mbele kutoa taarifa oindi wanapo fanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia MBEYA Na Lennox Mwamakula Kutokana na ongezeko la vitendo vya ukatili vinavyoripotiwa kwenye maeneo mbalimbali mkoani mbeya, serikali kwa kushrikiana na wadau mbalimbali wamekutana…

26 April 2024, 2:09 pm

Jamii yatakiwa kutunza mazingira Rungwe

katibu tawala wa wilaya ya Rungwe Ally Kiumwa akisoma taarifa mbele ya mkuu wa wilaya kwenye siku ya maadhimisho ya miaka 60 ya muungano [picha na Lennox Mwamakula] wananchi wametakiwa kuendelea kudumisha amani iliyopo kwa kulinda muungano wa tanzania RUNGWE-MBEYA…

26 April 2024, 12:12

Ruwasa Kigoma: Tunazalisha maji lita elfu 42 kwa siku

Wadau wa maji Manispaa ya kigoma ujiji wameomba serikali kupitia mamlaka ya maji na usafi wa mazingira kuhakikisha inafikisha maji kwa wananchi ili kuondoa adha ya kutumia maji ya isima na mito. Na Lucas Hoha – Kigoma. Serikali imeondoa changamoto…

26 April 2024, 10:30

RUWASA Simiyu yatakiwa kulipa wakandarasi kwa wakati

Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira (RUWASA) mkoani Simiyu kuwalipa wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali kwa wakati ili kuondokana na kuisababishia serikali hasara itokanayo na ucheleweshaji wa malipo. Na,Daniel Manyanga Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa…

26 April 2024, 09:39

“Nchi yetu imeanza kuchukua hatua,matumizi ya gesi”

Matumizi ya nishati ya kupikia itasaidia kutunza mazingira yetu kwani kwa sasa mafuriko tunayoyaona ni matokeo ya uharibifu wa mazinira na misitu kwa kukata miti na misitu. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kutumia nishati…

25 April 2024, 21:39

Viongozi wa dini waja na mkakati kabambe kilimo cha ufuta

Kwa kutambua umuhimu wa kilimo nchini, taasisi za dini zimejikita katika uzalishaji wa mazoa biashara katika kilimo cha ufuta. Na Ezra Mwilwa Umoja wa Makanisa Tanzania umejipanga kuanzisha mradi wa kilimo cha ufuta ili kuinua uchumi wa nchi. Kauli hiyo…

25 April 2024, 9:25 pm

Tundu Lisu kuunguruma Manyara

Chadema kufanya maandamano ya amani mkoani Manyara Tarehe 26/04/2024 ,kwa  lengo la kuishinikiza Serekali kupunguza ukali wa maisha kwa watanzania pamoja na kuwapatia katiba mpya, Na George Agustino Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kesho kinatarajia kufanya maandamano ya amani katika mkoa…

25 April 2024, 20:41

TADIO yawaasa wanahabari kutumia kalamu zao kwa weledi

Kufuatia ukuaji wa sayansi na teknolojia duniani, tasnia ya habari ni moja ya tasnia inayotakiwa kwenda sambamba na mabadiliko hayo katika kuzingatia taaluma yao kuwa karibu na jamii wanayoitumikia kwa kuwalisha habari zenye ukweli na uhakika. Na Hobokela Lwinga Waandishi…

25 April 2024, 16:57

Makala: Tamu na chungu za Muungano

Ikiwa ni miaka 60 tangu Tanganyika na Zanzibar zilipoungana, wananchi wa Tanzania Bara na Zanzibar wamefunguka kuelezea changamoto lakini pia umuhimu wa Muungano huo. Makala hii iliyoandaliwa na Filbert Gabriel inasomwa kwako na Timotheo Leonard wa Joy FM.