Habari za Jumla
26 April 2024, 4:38 pm
Wananchi Ileje waaswa kuudumisha muungano
Na Denis Sinkonde,Songwe Mkuu wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe Farida Mgomi, amewataka wananchi wa wilaya hiyo kuuenzi, kuulinda na kuutetea Muungano kwa kushirikiana kufanya kazi kwa bidii juhudi na maarifa ili kuendelea kutunza na kuimarisha tunu za Muungano. Mgomi,…
26 April 2024, 4:27 pm
DC Ileje apiga marufuku kutumia vyandarua kujengea bustani
Denis sinkonde, Songwe Mkuu wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe Farida Mgomi amewaagiza viongozi wa serikali za vijiji wilayani humo kusimamia agizo la wananchi kutotumia vyandarua kwenye bustani za mbogamboga. Mgomi ametoa agizo hilo wakati wa maadhimisho ya siku ya…
26 April 2024, 16:24
TEHAMA mashuleni kuongeza ufaulu kwa wanafunzi Maswa
Vifaa vya tehama sasa kusaidia ujifunzaji kwa wanafunzi shuleni nakuwasaidia walimu kwendana na wakati uliopo kwa sasa wa sayansi na teknolojia hivyo kuongeza ufaulu kwa wanafunzi.Na,Paul Yohana Mkuu wa wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Aswege Kaminyoge amekabidhi vifaa vya tehema…
26 April 2024, 16:19
Wananchi watakiwa kuulinda na kudumisha muungano
Wananchi wametakiwa kuendelea kuuenzi muungano kwa kutimiza wajibu na kutenda haki kama chachu ya kuhimiza maendeleo kwa watanzania. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kamishna jenerali mstaafu wa jeshi la zimamoto na uokoaji Thobias Andengenye amewataka…
26 April 2024, 2:59 pm
Wanafunzi kumaliza vitendo vya ukatili shuleni
Vijana wametakiwa kuwa msitari wa mbele kutoa taarifa oindi wanapo fanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia MBEYA Na Lennox Mwamakula Kutokana na ongezeko la vitendo vya ukatili vinavyoripotiwa kwenye maeneo mbalimbali mkoani mbeya, serikali kwa kushrikiana na wadau mbalimbali wamekutana…
26 April 2024, 2:09 pm
Jamii yatakiwa kutunza mazingira Rungwe
katibu tawala wa wilaya ya Rungwe Ally Kiumwa akisoma taarifa mbele ya mkuu wa wilaya kwenye siku ya maadhimisho ya miaka 60 ya muungano [picha na Lennox Mwamakula] wananchi wametakiwa kuendelea kudumisha amani iliyopo kwa kulinda muungano wa tanzania RUNGWE-MBEYA…
26 April 2024, 12:12
Ruwasa Kigoma: Tunazalisha maji lita elfu 42 kwa siku
Wadau wa maji Manispaa ya kigoma ujiji wameomba serikali kupitia mamlaka ya maji na usafi wa mazingira kuhakikisha inafikisha maji kwa wananchi ili kuondoa adha ya kutumia maji ya isima na mito. Na Lucas Hoha – Kigoma. Serikali imeondoa changamoto…
26 April 2024, 10:30
RUWASA Simiyu yatakiwa kulipa wakandarasi kwa wakati
Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira (RUWASA) mkoani Simiyu kuwalipa wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali kwa wakati ili kuondokana na kuisababishia serikali hasara itokanayo na ucheleweshaji wa malipo. Na,Daniel Manyanga Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa…
26 April 2024, 09:39
“Nchi yetu imeanza kuchukua hatua,matumizi ya gesi”
Matumizi ya nishati ya kupikia itasaidia kutunza mazingira yetu kwani kwa sasa mafuriko tunayoyaona ni matokeo ya uharibifu wa mazinira na misitu kwa kukata miti na misitu. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kutumia nishati…
25 April 2024, 21:39
Viongozi wa dini waja na mkakati kabambe kilimo cha ufuta
Kwa kutambua umuhimu wa kilimo nchini, taasisi za dini zimejikita katika uzalishaji wa mazoa biashara katika kilimo cha ufuta. Na Ezra Mwilwa Umoja wa Makanisa Tanzania umejipanga kuanzisha mradi wa kilimo cha ufuta ili kuinua uchumi wa nchi. Kauli hiyo…