Radio Tadio

Habari za Jumla

29 Aprili 2024, 17:41

Mvua yageuka kilio kwa wakulima wa pamba Bariadi

Licha ya mvua kuwa na faida lakini kwa wakulima wa pamba Bariadi imegeuka kilio hadi kufikiria kulima mazao mengine ili kujikomboa kiuchumi kutokana na mavuno ya pamba kuwa chini msimu huu. Na, Daniel Manyanga  Wakulima wa zao la pamba halmashauri…

29 Aprili 2024, 14:52

Wafanyabiashara Kigoma waikaba shati serikali, wagoma kuhama

Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali mkoani Kigoma zimesababisha maji kujaa kwenye mwalo na kuharibu miundombinu ya bandari ndogo ya Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji. Na Kadilsaus Ezekiel – Kigoma Wafanyabiashara  wa  mazao ya uvuvi na  mbogamboga  waliovamiwa na maji…

29 Aprili 2024, 7:25 mu

RC Songwe atangaza kiama wanaowapa mimba wanafunzi

Na Denis Sinkonde, Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo amekemea vikali tabia ya uwepo wa mimba za utotoni hususani wanafunzi katika wilaya ya Ileje ambapo amesema katika utawala wake hakuna mtu yeyote atakayekwepa mkono wa dola kwa kumpatia…

27 Aprili 2024, 10:32

Wadau: Miaka 60 ya muungano, Maswa haikuwa hivi

Kongamano la Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuwa Tanzania limefanyika Katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa na Kuhudhuriwa na Wadau Mbalimbali Nicholaus Machunda Wadau  wa Maendeleo  Wilayani  Maswa  Mkoani  Simiyu  Wamesema  kuwa  Miaka  60 …

27 Aprili 2024, 00:11

Wananchi watakiwa kutumia michezo kuimarisha afya zao

Afya ni mtaji jambo lolote ili uweze kulifanya linategemea afya njema hata hivyo wataalamu wa afya wanasisitiza kutunza afya kwa njia ya mazoezi kwani mazoezi yanatajwa kuwa tiba ya kuuokoa mwili wako usipatwe na magonjwa. Na Rukia Chasanika Ikiwa leo…

26 Aprili 2024, 20:50

DC Munkunda awataka wananchi kudumisha muungano

Faida za muungano wa Tanganyika na Zanziba ni nyingi kwa pande zote mbili zikiwemo za kibiashara,Uchumi na kijamii. Na Musa Mtepa Mkuu wa wilaya ya Mtwara  Mwanahamisi Munkunda amewaomba wananchi  kuwa wamoja katika  kuuenzi  na kudumisha muungano wa Tanganyika na…

26 Aprili 2024, 4:38 um

Wananchi Ileje waaswa kuudumisha muungano

Na Denis Sinkonde,Songwe Mkuu wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe Farida Mgomi, amewataka wananchi wa wilaya hiyo kuuenzi, kuulinda na kuutetea Muungano  kwa kushirikiana kufanya kazi kwa bidii juhudi na maarifa ili kuendelea kutunza na kuimarisha tunu za Muungano. Mgomi,…

26 Aprili 2024, 4:27 um

DC Ileje apiga marufuku kutumia vyandarua kujengea bustani

Denis sinkonde, Songwe Mkuu wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe Farida Mgomi amewaagiza viongozi wa serikali za vijiji wilayani humo kusimamia agizo la wananchi kutotumia vyandarua kwenye bustani za mbogamboga. Mgomi ametoa agizo hilo wakati wa maadhimisho ya siku ya…

26 Aprili 2024, 16:24

TEHAMA mashuleni kuongeza ufaulu kwa wanafunzi Maswa

Vifaa vya tehama sasa kusaidia ujifunzaji kwa wanafunzi shuleni nakuwasaidia walimu kwendana na wakati uliopo kwa sasa wa sayansi na teknolojia hivyo kuongeza ufaulu kwa wanafunzi.Na,Paul Yohana  Mkuu wa wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Aswege Kaminyoge amekabidhi vifaa vya tehema…