Radio Tadio

Habari za Jumla

14 May 2024, 17:30

Roundabout kumaliza ajali za barabarani Lamadi

Barabara ya mzunguko ilichelewa sana kuwepo na huenda ajali za barabarani zisingekuwepo au kuwepo lakini kwa kiwango cha chini tofauti na hivi sasa. Na, Daniel Manyanga  Kukamilika kwa barabara ya mzunguko  (roundabout) inayounganisha barabara za Lamadi Bariadi,Mwanza na Mara kunatajwa…

14 May 2024, 09:34

Bei ya pamba haina tija kwa wakulima wa Bariadi

Kutokana na bei ya pamba kuwa ndogo katika msimu wa kilimo wa mwaka 2024/25 iliyotangazwa mkoani Shinyanga wakulima wameanza kuangalia namna ya kuachana na kilimo hicho. Na, Daniel Manyanga Baraza la Madiwani la halmashauri ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu…

13 May 2024, 15:41

UNHCR na tanzania zatoa msimamo kwa wakimbizi wa burundi.

Wakimbizi wa nchi ya burundi wanaohifadhiwa mkoani Kigoma, wametakiwa Kurejea Nchini Burundi mara moja ili kuungana na ndugu zao kujenga Taifa hilo,  kabla ya kufutiwa hadhi ya Ukimbizi  na kukosa misaada ya Kibinadamu ifikapo Mwezi Desember Mwaka huu. Na, Lucas…

11 May 2024, 5:00 pm

Hakuna kupita bila kupingwa-ACT Wazalendo

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amekabidhiwa uchifu (utemi wa nchi) na wazee wa Kahama, kuwa mtemi/chifu wa kabila la wasukuma na wanyamwezi. Zoezi hilo limefanyika…

10 May 2024, 8:39 pm

Jamii  yatakiwa kuondoa tofauti zao kumlinda mtoto

Kuongezeka kwa vitendo vya kikatili  na mmommonyoko wa maadili vinasababishwa na baadhi ya wazazi wanapogombana ambapo familia nyingi huathirika kwa kukosa malezi bora na  muelekeo mzuri katika maisha yao Na Marino Kawishe Kuelekea siku ya familia duniani  ambayo huadhimishwa kila…

10 May 2024, 6:38 pm

Wanafunzi wapatiwa elimu ya mlipa kodi na TRA

“Mafunzo ambayo tunayaandaa yanalenga kuwafundisha vijana wetu wakiwa wadogo hasa wanafunzi wa shule za Msingi, Sekondari na vyuoni kujua maana ya kulipa kodi, umuhimu wa kodi ni nini, kwanini serikali zote duniani zinaweka kodi. Kodi ni malipo ya lazima ambayo…

10 May 2024, 6:21 pm

Waziri Mkuu ziarani Kyela

“Tupo tayari kumpokea waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ili aje aone namna fedha za zinazotolewa na raisi samia jinsi zinavyofanya kazi za maendeleo hapa wilayani”. Na Masoud Maulid Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kasim…