Habari za Jumla
13 Disemba 2023, 3:27 um
Biashara ya nyama choma kijiji cha Terrat
Biashara ya nyama choma ni moja ya biashara inayofanya vizuri haswa katika maeneo ya mijini lakini je Vijijini hali ikoje ? Kijiji cha Terrat kilichopo wilaya ya Simanjiro Mkoa wa Manyara huwa na Soko kila siku ya alhamisi ambapo wachuuzi…
13 Disemba 2023, 11:26
Jinsi msimu wa uvuvi unavyosaidia kupunguza matukio ya wizi Pangani
Katika msimu wa uvuvi naweza kupata hata shilingi laki tatu kwa siku kwa kuuza dagaa, pia changamoto ya vijana kuiba yamepungua. Na Cosmas Clement. Kuanza kwa msimu wa uvuvi wa dagaa katika mji wa Pangani kumetajwa kuwa ni fursa nzuri…
12 Disemba 2023, 19:23
Mbunge Sikonge Tabora aipongeza halmashauri ya Rungwe Mbeya
Na mwandishi wetu,Rungwe Mbeya Mheshimiwa Joseph Kakunda Mbunge wa Jimbo la Sikonge Mkoa wa Tabora ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kwa Kuzalisha zaidi ya lita za maziwa million 44 kwa mwaka hatua iliyoongeza kipato cha wananchi sambamba na uboreshaji…
9 Disemba 2023, 08:00
Mkuu wa mkoa wa Songwe akabidhi msaada kwa wafungwa gereza la vwawa
Na mwandishi wetu,Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Dkt Francis K. Michael kwa kushirikiana na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Songwe amekabidhi Tarehe 07 Desemba,2023 msaada wenye thamani ya zaidi shilingi milioni 3 kwa wafungwa wa Gereza la…
8 Disemba 2023, 10:45 mu
Hospitali ya jiji Arusha yakwama kukamilika licha ya kutengewa fedha
Shilingi bilioni 3.9 tayari zilitolewa na Serikali Kuu na kuifikia halmashauri ya jiji la Arusha miaka mitatu iliyopita lakini hadi mwaka 2023 bado jengo la wagonjwa wa nje kwenye hospitali ya jiji hilo haijakamilika. Na Joel Headman Wakazi wa jiji…
7 Disemba 2023, 3:33 um
Serikali yaruhusu sekta binafsi kuanzisha safari za treni reli ya mwendokasi
Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa usafirishaji jijini Arusha. Picha na Anthony Masai “Sheria ya reli namba 17 imefanyiwa marekebisho ambapo kwa sasa inaruhusu uwekezaji wa sekta binafsi katika miundombinu ya reli“. Na Anthony…
7 Disemba 2023, 2:20 um
Mvua za juu ya wastani kunyesha ndani ya kipindi cha siku tano zijazo-TMA
Mkurugenzi wa Miundombinu na Huduma za ufundi wa ,Mamlaka ya hali ya hewa nchini Dokta Paskali Wanyiha,akielekeza jambo.Picha na Anthony Masai. Licha ya maeneo mengi ya nchi kuendelea kupata mvua za kiwango cha juu ya wastani na kusababisha mafuriko katika…
7 Disemba 2023, 1:43 um
Ndege kuruka saa 24 Arusha
Uwanja wa ndege wa Arusha ni uwanja unaoongoza kwa kupokea ndege nyingi kuliko viwanja vyote nchini Tanzania lakini hautumiki kwa saa 24 kwa sababu ya kukosa taa. Na.Anthony Masai Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuanza kuweka taa katika…
5 Disemba 2023, 14:58
Rungwe kupokea vitambulisho vya taifa 69,638
Na mwandishi wetu Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu amezindua zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya taifa (NIDA) leo tarehe 5.12.2023. Zoezi limezinduliwa katika kata ya Kyimo tarafa ya Ukukwe. Mhe Haniu ameeleza kuwa jumla ya vitambulisho 69638…