Radio Tadio

Habari za Jumla

8 December 2021, 3:21 AM

Masasi-Kamati ya Lishe kuweka wazi bajeti yao.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Masasi Mji Eliasi Ntirihungwa ameitaka Kamati ya Lishe kuweka wazi bajeti yao, Kwani serikali inataka kujua wadau wa taasisi mbali mbali nao wamechangia kiasi gani cha fedha na kupata makadirio ya bajeti ya mwaka mzima ili…

8 December 2021, 3:17 AM

Shule ya Sekondari Chanika Nguo yajengewa vyumba vinne

Shule ya Sekondari Chanika Nguo yajengewa vyumba vinne vya Madarasa vyenye thamani ya Shilingi Milioni 80. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brigedia Jenerali Marko Gaguti wakati akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chanika Nguo pamoja na…

30 November 2021, 11:14 pm

MABARAZA YA HAKI YAGAWIWA KONDOO NGORONGORO

Na Edward .S.Shao. Baraza la wanawake wakifugaji Pastoral Women Council-PWC-kupitia shirika la Norway -NODAK- lagawa kondoo 168 kwa mabaraza saba ya haki na uongozi wa wanawake wilayani Ngorongoro. Akizungumza katika hafla hiyo Novemba 29, 2021 ya ugawaji wa kondoo hao…

28 November 2021, 8:00 am

Mtelela:-TAKUKURU ichunguzeni TARURA Bunda mjini

Katibu tawala Wilaya ya Bunda Salum Mtelela ameelekeza TAKUKURU Wilaya ya Bunda kuichunguza TARURA Bunda Mjini kutokana na malalamiko mbalimbali ya utekelezaji usiyofaa wa miradi ya miundombinu ya Barabara ndani ya Halmashauri ya Mji wa Bunda Maelekezo hayo ameyatoa kwenye…