Radio Tadio

Habari za Jumla

4 August 2025, 23:27

Kaspar Mmuya ashinda kwa kishindo kura za Maoni Ruangwa

Mgombea wa Ubunge CCM, Kaspar Kaspar Mmuya, ameibuka kidedea katika kura za maoni jimbo la Ruangwa, akijizolea kura 5,966 kati ya kura halali 9,547, leo Agosti 4. Mmuya amewashinda wapinzani wake watatu kwa mbali ikiwa ni Ushindi huu unaimarisha nafasi ya Mmuya kupeperusha bendera ya…

2 August 2025, 11:51 am

Wagombea CCM Mafinga wajipambanua kwa sera thabiti

Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini anayemaliza muda wake na mgombea anayetetea nafasi hiyo, Cosato David Chumi akinadi sera kwa wajumbe ili waendelea kumpa ridhaa ya kushirikiana naye katika kuleta maendeleo kwa wanamafinga, ikumbukwe kuwa Chumi ni miongoni mwa wagombea…

30 July 2025, 9:29 am

Madereva bajaji Katavi walia na tozo stend kuu

Mkuu wa mkoa wa Katavi akizungumza na madereva bajaji. Picha na Samwel Mbugi “Kuna mambo bado hayajakaa sawa niwape muda mkayatafakari upya” Na Samwel Mbugi Baadhi ya madereva bajaji mkoa wa Katavi wamelalamika kwa mkuu wa mkoa kuhusu kuamriwa kushusha…

29 July 2025, 7:27 pm

Ole Shangai ashukuru kwa miaka minne ya heshima Ngorongoro

Chama cha mapinduzi (CCM) kinaendelea na mchakato was kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu utakofanyika oktoba mwaka huu 2025 ambapo kwasasa chama hicho kipo katika mchakato wa kuwapata wagombea nafasi ya ubunge. Na Edward Shao Leo, tarehe 28…

21 July 2025, 17:29

ADC yatoa ahadi ya elimu bure hadi vyuo vikuu

Na Is haka Mohammed. Chama cha Allience for Democtatic Change (ADC) kimesema kikipata ridhaa ya kuongoza Zanzibar kitafanya mageuzi katika sekta ya Elimu kwa kutoa elimu bure kwa watoto wa Skuli za Maandalizi hadi ngazi ya vyuo Vikuu.Akizungumza na Wananchi…

18 July 2025, 9:09 am

Jela maisha kwa kubaka na kulawiti mtoto (6)

“Mtoto huyo alikuwa akiishi na bibi yake na kusoma darasa la kwanza mara nyingi  akirudi nyumbani anakuwa peke yake kwa kuwa bibi yake anakuwa katika shughuli za kujitafutia riziki hivyo mshitakiwa kwa kuwa walikuwa majirani, alitumia nafasi hiyo kutenda unyama…