Radio Tadio

Elimu

15 September 2023, 18:21

Vijana mkoani Mbeya wapewa mbinu za kujikwamua kiuchumi

Mafunzo ya uelimishaji rika kwa vijana yatasaidia kuondoa changamoto katika masuala ya afya na uchumi. Na mwandhisi wetu Samwel Mpogole Vijana wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupata mafunzo ya uelimishaji rika kwa lengo la kusaidia vijana wengine waliopo kwenye jamii kuepukana…

15 September 2023, 7:12 am

Zaidi ya wananchi 1500 wafikiwa na elimu ya malezi

Program jumuishi ya malezi, makunzi na maendeleo ya awali ya mtoto ilizinduliwa mwaka 2021 na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ambapo wadau mbalimbali wanatekeleza program hiyo. Na Mariam Matundu. Zaidi ya wananchi elfu moja na…

14 September 2023, 4:53 pm

ZEC kutoa  tarehe ya uchaguzi mdogo Mtambwe

Kufuatia kifo cha aliyekuwa  Mwakilishi wa jimbo la mtambwe Habibu Ali Mohamed, tume ya uchaguzi  Zanzibar imeamua kufanya uchaguzi mdogo kuziba nafasi hiyo iliopo wazi na wadau wote wa uchaguzi wanatakiwa kushiriki kukamilisha uchaguzi huo kama ilivyokusudiwa. TUME ya Uchaguzi…

14 September 2023, 3:58 pm

Vipindi  vya elimu Redioni vitaengeza ufaulu Sekondari.

Vipindi vya elimu vya redio zinasaidia kuengeza ufauli kwa wanafunzi hasa wa sekondari ni vyema wazazi na walimu kushirikiana kwa pamoja kuwahimiza watoto wao  kufuatilia vipindi hivyo kwa lengo la kuengeza ufaulu. Na Fatma Rashid. Meneja wa mradi wa  Secondary …

14 September 2023, 9:04 am

Changamoto za maisha isiwe chanzo cha utoro mashuleni

Wilaya ya Micheweni ni miongoni mwa wilaya ambazo zinaendelea kufanya vizuri katika mitihani yake ya taifa lakini bado kumekuwa na changamoto kwa baadhi ya wazazi na walezi kutowapa kipaombele watoto wao kuhudhiria skuli. Na Mwiaba Kombo Wanafunzi wa skuli za…