Ardhi
12 September 2023, 8:11 am
Kukosekana kwa wosia chanzo cha migogoro ya ardhi
Utamaduni wa watu wengi kutoandika wosia imetajwa kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi katika jamii nyingi nchini Tanzania huku mila na desturi zikitajwa. Na Lennox Mwamakula- Rungwe Jamii imeshauriwa kuwa na utaratibu wa kuandika wosia ili kuondokana na mkanganyiko juu…
September 11, 2023, 1:12 pm
Wananchi waliovamia ardhi Ileje watakiwa kuondoka
Wananchi waliovamia maeneo yaliyotengwa na wananchi katika kijiji cha Shinji wilayani Ileje mkoani Songwe watakiwa kuondoka Na Denis Sinkonde Agizo hilo limetolewa na mkuu wa wilaya hiyo Farida Mgomi wakati akizungumza na wananchi hao katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini…
11 September 2023, 12:46
Wananchi Mufindi wapewa elimu umiliki ardhi
Afisa mipango miji mkuu kutoka Wizara ya Ardhi Fabian Mtaka akizungumza na wananchi wa kijiji cha Idetero kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi.Na Bestina Nyangaro Kuwa na hatimiliki za ardhi kutasaidia kupunguza migogoro ya ardhi Na Bestina Nyangaro-Mufindi Idara ya Ardhi…
7 September 2023, 2:51 pm
Wananchi watakiwa kutoa ushirikiano mradi wa uboreshaji milki za ardhi
Chalinze ni miongoni mwa halmshauri 41 zinakazopitiwa na mradi wa Uboreshaji usalama wa milki za ardhi, ambapo Zaidi ya viwanja 7,600 vimepimwa, huku viwanja 50,000 vikitarajiwa kupimwa mpaka mwisho wa mradi huo. Na Seleman Kodima. Wakazi wa Chalinze wametakiwa kutoa…
4 September 2023, 4:09 pm
Kigoma Ujiji kupima, kusajili makazi 10,000 katika mitaa 25
Mradi huu umelenga kuboresha usalama wa milki za ardhi kwa kupanga, kupima na kusajili milki za ardhi zipatazo milioni 2.5 zinazojumuisha hatimilki 1,000,000 na Leseni za Makazi 1,000,000 katika maeneo ya mijini na Hati za Hakimilki za Kimila 500,000 vijijini.…
September 1, 2023, 7:25 am
Faida za hatimiliki
Wananchi pimeni Ardhi mpate Hatimiliki-Maofisa Ardhi Makete
29 August 2023, 4:00 pm
Wakazi Bihawana watakiwa kujitokeza kuhakiki taarifa za ardhi
Lengo la mradi wa LTIP ni kuboresha ufanisi katika utawala wa ardhi na kuongeza usalama wa milki kwenye maeneo ya mradi. Na Seleman Kodima. Wakazi wa mtaa wa Bihawana kata ya Mpunguzi jijini Dodoma wametakiwa kujitokeza hapo kesho kwa ajili…
28 August 2023, 10:13 am
Milki 60,000 kusajiliwa Kigoma na Chalinze
Kati ya Mwezi Julai 2023 hadi Agosti 2023 zaidi ya makazi 3,000 (Manispaa ya Kigoma Ujiji) na makazi 5,000 (Halmashauri ya Chalinze) yametambuliwa na kupangwa. Na Seleman Kodima. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji…
17 August 2023, 11:57 am
Wananchi wahofia kuporwa ardhi yao na kijiji
Migogoro ya ardhi kwa baadhi ya maeneo wilayani Geita imekuwa mwiba mchungu kwa wananchi hususani vijijini kwakuwa wengi wao hawajui waende wapi wakapate haki zao. Na Mrisho Sadick: Wakulima wa kijiji cha Salagulwa Kata ya Nyamlolelwa wilayani Geita wameiomba serikali…
11 August 2023, 19:12 pm
Kipindi: Umiliki wa Ardhi kwa mwanamke – Gladness Munuo
Wanawake wamekuwa nyuma katika suala la umiliki wa ardhi kitendo ambacho kinaonesha ni kutokuwa na elimu ya kutosha juu ya umiliki huo, hasa linapokuja suala la mali ya familia Na Musa Mtepa Mratibu usuluhishi na upatanisho kutoka kituo cha msaada…