Radio Tadio

Ardhi

18 October 2023, 09:48

Wakazi wa Nholi waaswa kuepuka migogoro ya ardhi

Kupitia zoezi la urasimishaji wa ardhi nchini itasaidia kutoa hati ya umiliki wa vipande vya ardhi na kupunguza changamoto za kugombania na mashamba. Na Victor  Chigwada.                                                       Wito umetolewa kwa wananchi wa kijiji cha Nholi kuepukana na migogoro ya ardhi…

27 September 2023, 7:51 am

Elimu ya Upimaji Ardhi yawakomboa Wananchi

Katika kuhakikisha Wananchi wanapata Hatimiliki za Ardhi,Serikali imechukua hatua za kupima na kugawa Hatimiliki bure kwa Wananchi Na Furahisha Nundu Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi umeendelea kufanyika ambapo Wananchi wa Kijiji cha Malanduku Wilayani Makete wameonesha njia bora ya kutatua…

12 September 2023, 12:22 pm

Wananchi waipongeza serikali kutatua mgogoro wa eneo la kuzika

Na Maoni Mbuba, Songwe Wananchi wa kijiji cha Mbebe kata ya Mbebe wilayani Ileje mkoani Songwe waipongeza serikali kupitia kwa mwanasheria wa halmashauri hiyo kumaliza mgogoro wa maeneo ya kuzika baina ya wananchi kijijini hapo. Wananchi hao wamesema hayo wakati…

12 September 2023, 8:11 am

Kukosekana kwa wosia chanzo cha migogoro ya ardhi

Utamaduni wa watu wengi kutoandika wosia imetajwa kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi katika jamii nyingi nchini Tanzania huku mila na desturi zikitajwa. Na Lennox Mwamakula- Rungwe Jamii imeshauriwa kuwa na utaratibu wa kuandika wosia ili kuondokana na mkanganyiko juu…

11 September 2023, 1:12 pm

Wananchi waliovamia ardhi Ileje watakiwa kuondoka

Wananchi waliovamia maeneo yaliyotengwa na wananchi katika kijiji cha Shinji wilayani Ileje mkoani Songwe watakiwa kuondoka Na Denis Sinkonde Agizo hilo limetolewa na mkuu wa wilaya hiyo Farida Mgomi wakati akizungumza na wananchi hao katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini…

11 September 2023, 12:46 pm

Wananchi Mufindi wapewa elimu umiliki ardhi

Afisa mipango miji mkuu kutoka Wizara ya Ardhi Fabian Mtaka akizungumza na wananchi wa kijiji cha Idetero kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi.Na Bestina Nyangaro Kuwa na hatimiliki za ardhi kutasaidia kupunguza migogoro ya ardhi Na Bestina Nyangaro-Mufindi Idara ya Ardhi…

4 September 2023, 16:09

Kigoma Ujiji kupima, kusajili makazi 10,000 katika mitaa 25

Mradi huu umelenga kuboresha usalama wa milki za ardhi kwa kupanga, kupima na kusajili milki za ardhi zipatazo milioni 2.5 zinazojumuisha hatimilki 1,000,000 na Leseni za Makazi 1,000,000 katika maeneo ya mijini na Hati za Hakimilki za Kimila 500,000 vijijini.…