Radio Tadio

Ardhi

10 February 2023, 12:34 pm

Baraza la Kata Litumike Kutatua Migogoro ya Ardhi

MPANDA Wananchi wa manispaa ya mpanda mkoani katavi Wameshauliwa kutumia baraza la kata kusuluhisha migogoro ya ardhi. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi mkoa wa katavi Gregory Rugalema amesema kuwa kupitia mabaraza ya ardhi ya wilaya na kata…

7 February 2023, 11:58 am

Aondolewa kwenye makazi baada ya miaka 24

Na Zainabu Jambia Uongozi wa Serikali ya mtaa wa Namtibwili kata ya Chuno manispaa ya Mtwara- Mikindani, mkoani Mtwara umesikitishwa na kitendo kilichofanywa na kampuni moja ya udalali iliyotajwa kwa jina la Adili, kuiondoa kwa nguvu kwenye nyumba familia ya…

23 January 2023, 10:25 am

Wizara ya Ardhi kutoa hatimiliki

Na; Seleman Kodima. Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) inatarajia kutoa Hati Milki za Ardhi milioni moja katika maeneo ya mijini pamoja na Hati Miliki za Kimila laki…

18 January 2023, 2:20 pm

Wananchi watakiwa kuacha ubinafsi

Na; Lucy Lister. Naibu waziri wa sanaa utamaduni na michezo na mbunge wa jimbo la Babati mjini Mh. Pauline Gekul amewataka watanzania kuacha ubinafsi na kuwa na moyo wa kusaidia wengine kama alivyofanya baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere…

18 January 2023, 2:03 pm

Wananchi waomba elimu Umiliki ardhi

Na; Mariam Matundu. Wananchi jijini Dodoma wamesema kuwa elimu ya umiliki wa ardhi inatakiwa kutolewa kwa jamii ili kupunguza migogoro ya ardhi inayojitokeza maeneo mbalimbali. wakizungumza na Taswira ya habari wamesema baadhi ya wananchi hawajui ni kwanamna gani wanaweza kuwa…