Radio Tadio

Ardhi

10 August 2026, 12:45

Polisi wapiga marufuku abiria wengi

Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilombero limewataka madereva wa bodaboda, bajaji na guta kuzingatia sheria za usalama barabarani, ikiwemo kutobeba abiria zaidi ya mmoja kwa bodaboda na bajaji, huku guta likisisitizwa kuwa chombo cha kubeba mizigo. Na; Kuruthum Mkata Mkuu…

23 July 2026, 08:22

Polisi wahimiza usalama wa matrekta

Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilombero limewataka wamiliki na madereva wa matrekta pamoja na power tiller kuzingatia sheria za usalama barabarani kwa kuhakikisha vyombo vyao vina taa, viakisi mwanga na madereva wanakuwa na leseni halali ili kupunguza ajali. Na: Isidory…

29 June 2026, 5:07 pm

GGML yashiriki Tuzo za Business SDG Awards 2026

Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeshiriki hafla ya utoaji wa Tuzo za Business SDG Awards 2026 kama mdhamini wa ngazi ya Dhahabu (Gold Sponsor), ikiungana na viongozi waandamizi wa Serikali na sekta binafsi. Na: Ester Mabula Hafla hiyo…

21 June 2026, 20:32

Dimani yapanga operesheni kudhibiti madawa ya kulevya

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dimani Kichama, Rehema Makame Msheli, amewataka wazazi kuimarisha malezi ya watoto ili kuwakinga dhidi ya matumizi ya madawa ya kulevya. Viongozi wa wilaya hiyo wameeleza kuwa matumizi ya madawa ya kulevya yanachangia ongezeko la uhalifu…

7 June 2026, 3:33 pm

Mmiliki shule ya Kadama ashinda tuzo CEO bora Geita

Usiku wa June 06, 2026 zimetolewa tuzo za malkia wa dhahabu kwa kuthamini jitihada za wanawake katika sekta mbalimbali mkoani Geita. Na: Ester Mabula Mkurugenzi na mmiliki wa Kadama English Medium Primary School Bi. Leticia Pastory ametunukiwa tuzo ya mmiliki…

3 June 2026, 10:18

MUCE yakuza tafiti na ubunifu Iringa

Na Hafidh Ally Zaidi ya shilingi milioni 300 zimewekezwa na Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) katika kuendeleza mawazo bunifu na tafiti mbalimbali zenye lengo la kuzalishwa kibiashara na kutoa suluhisho kwa changamoto za kijamii na kiuchumi nchini. Hayo yameelezwa…

21 May 2026, 08:38

Iringa kufanya wiki ya utafiti na ubunifu

Wananchi Mkoani Iringa wanatarajia Kunufaika Na Maarifa Na Teknolojia Mpya kupitia maonesho hayo. Na Hafidh Ally Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewataka wananchi  kutumia fursa ya Wiki ya Utafiti, Ubunifu na Huduma kwa Jamii kujifunza na kunufaika na…