Ardhi
28 August 2022, 2:45 pm
Wananchi Pemba wanatakiwakuandika urithi ili kuepuka migogoro
Wananchi kisiswani Pemba wameshauriwa kuzingatia suala la mirathi mara tu baada ya mzazi kufariki ilikuepusha migogoro isiyo ya lazima katika familiya. Kauli hizo zimetolewa na zulekha suleimn sheha na Sharifa Shaban Hamad wakati akizungumza na mwandishi wa habari hizi…
10 August 2022, 14:33
Urasimishaji ardhi ni changamoto kwa wananchi wasio kuwa na elimu juu ya zoezi h…
Na; Victor Chigwada. Pamoja na faida za urasimishaji na upimaji wa ardhi nchini lakini zoezi hili limekuwa na changamoto kadhaa wa kadha kwa baadhi ya maeneo kutokana na uelewa mdogo wa wananchi Taswira ya habari imezungumza na Jane samsoni ambaye…
26 May 2022, 11:43
Wakazi wa Chididimo waiomba halmashauri kuwashirikisha katika suala la ununuzi…
Na;Mindi Joseph. Wananchi wa Mtaa Chididimo Kata Zuzu wameiomba halmashauri ya jiji la Dodoma kuwashirikisha kikamilifu katika suala la kutaka kununua mashamaba yao kwa ajili ya kufanya kilimo cha kisasa cha zao la zabibu. Wameyasema hayo wakati wakizungumza mbele ya…
26 April 2021, 07:03
Uongozi wa kata ya Mnadani waahidi kutatua kero ya barabara
Na; Alfred Bulahya Wananchi wa kata ya Mnadani jijini Dodoma wametakiwa kutoa ushirikiano pamoja na kuwa wavumilivu, wakati uongozi wa kata hiyo ukifanya jitihada za kutatua kero ya ubovu wa miuno mbinu ya barabara za mtaa ili kusaidia kufanikisha zoezi…