Radio Tadio

Ardhi

28 August 2023, 10:13

Milki 60,000 kusajiliwa Kigoma na Chalinze

Kati ya Mwezi Julai 2023 hadi Agosti 2023 zaidi ya makazi 3,000 (Manispaa ya Kigoma Ujiji) na makazi 5,000 (Halmashauri ya Chalinze) yametambuliwa na kupangwa. Na Seleman Kodima. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji…

17 August 2023, 11:57 am

Wananchi wahofia kuporwa ardhi yao na kijiji

Migogoro ya ardhi kwa baadhi ya maeneo wilayani Geita imekuwa mwiba mchungu kwa wananchi hususani vijijini kwakuwa wengi wao hawajui waende wapi wakapate haki zao. Na Mrisho Sadick: Wakulima wa kijiji cha Salagulwa Kata ya Nyamlolelwa wilayani Geita wameiomba serikali…

11 August 2023, 19:12

Kipindi: Umiliki wa Ardhi kwa mwanamke – Gladness Munuo

Wanawake wamekuwa nyuma katika suala la umiliki wa ardhi kitendo ambacho kinaonesha ni kutokuwa na elimu ya kutosha juu ya umiliki huo, hasa linapokuja suala la mali ya familia Na Musa Mtepa Mratibu usuluhishi na upatanisho kutoka kituo cha msaada…

24 July 2023, 10:24 am

Ufinyu ardhi ya kilimo kilio Nsimbo

NSIMBO Wananchi wa kijiji cha Usense kata ya Uruwila halmashauri ya Nsimbo wamepaza sauti zao juu ya ufinyu wa maeneo ya kufanya shughuli za kilimo. Hayo wameyasema wakati wa ziara ya mbunge wa jimbo la Nsimbo Anna Lupembe katika kata…

24 July 2023, 10:06 am

Hati miliki za ardhi zatolewa Tanganyika

TANGANYIKA Taasisi ya Jen Goodall kwa kushirikiana na halmashauri ya wilaya ya Tanganyika chini ya mradi wa uhifadhi wa maliasili Tanzania wamefanya uzinduzi na ugawaji wa hati miliki katika kijiji cha Vikonge halmashauri yaTanganyika. Akizungumza katika uzinduzi huo Naibu Mkurugenzi…