Radio Tadio

Afya

24 July 2023, 2:04 pm

Mwarobaini vifo vya wajawazito Bahi wapatikana

Hatua hii ni muhimu ambapo takwimu zinazokusanywa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini zinaonesha vifo vitokanavyo na uzazi vimeendelea kupungua kutoka vifo 1,640 mwaka 2020 hadi vifo 1,580 mwaka 2021. Na Seleman Kodima. Vifo vya akina mama wajawazito…

24 July 2023, 1:19 pm

Mwitikio kuchangia damu Geita mjini ni mdogo

Uhitaji wa damu salama katika Hospitali ya Halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita ni Mkubwa kuliko inayopatikana kutoka kwa watu wanaochangia. Na Kale Chongela: Mwitikio wa wananchi kuchangia damu salama  bado ni Mdogo ukilinganisha na uhitaji katika Hospitali ya…

17 July 2023, 10:09 am

Nimonia kwa Watoto Inaepukika

MPANDA Mganga Mkuu wa Manispaa ya Mpanda Paul Swakala amewashauri wazazi na walezi kuwakinga Watoto na baridi kwa lengo la kuwaepusha na magonjwa yatokanayo na baridi ikiwemo NIMONIA . Ushauri huo ameutoa wakati akiongea na Mpanda Radio fm ofisini kwake…

16 July 2023, 1:17 pm

Auziwa mtungi wenye unga wa muhogo kwa ndani

Matukio ya utapeli katika nyanja mbalimbali yamekithiri ikiwamo katika upande wa upatikanaji wa vifaa vya kuzimia moto na uokoaji, jambo lililomuinua Inspekta Lukuba kuzungumzia hilo. Na Kale Chongela- Geita Jeshi la zimamoto na ukoaji mkoni Geita limewataka wananchi kufika katika…

14 July 2023, 11:21 am

Maswa: Ummy afurahishwa uwekezaji binafsi sekta ya afya

Waziri ahamasisha wawekezaji binafisi sekta ya Afya Mkoani Simiyu ili kusaidiana na Serikali huwahudumia wananchi Mkoania hapa. Na,Alex Sayi. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amefurahishwa na uwekezaji binasfi kwenye Sekta ya Afya uliofanywa na mwekezaji binafsi Wilayani Maswa Mkoani Simiyu.…

13 July 2023, 5:58 pm

Fahamu matibabu ugonjwa wa saratani ya jicho

Dkt Japhet Bright Bingwa wa Mgonjwa ya Macho kutoka Hospital ya rufaa ya Dodoma anaeleza juu ya matibabu ya ugonjwa huo. Na Yussuph Hassan. Leo tunazungumzia utaratibu wa matibabu ya ugonjwa wa saratani ya jicho kulingana na dalili mbalimbali tukiungana…

13 July 2023, 4:02 pm

Waziri Ummy: Sitarajii kusikia wananchi wanalalamikia dawa

Serikali mkoani Simiyu kuendelea kuboresha utoaji wa huduma za afya ili kupunguza malalamiko ya wananchi na wagonjwa mkoani hapa. Na Alex Sayi Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa hatarajii kuona wananchi na wagonjwa wakilalamikia uhaba wa dawa  kwa…