Afya
25 September 2023, 8:42 am
Hospitali ya rufaa ya kanda Chato yarahisisha huduma kupitia maonesho ya 6 Geita
Ukaribu wa huduma ya afya kwa wananchi unarahisisha mwamko wa wananchi katika kuchunguza afya zao na kupatiwa matibabu kwa wakati, hilo limesababisha Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato kushiriki maonesho ya 6 ya kimataifa ya teknolojia ya madini. Na Zubeda…
22 September 2023, 2:26 pm
Kiwandani wajifungulia nyumbani, ukosefu huduma ya maji kituo cha afya watajwa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wizara ya Afya katika kuboresha huduma ya mama na mtoto miongoni mwao ni kuweka vituo vya afya lakini bado ni ndoto kwa wakaazi wa Wesha Kiwandani kwani kituo hicho hakina huduma ya maji jambo linalopelekea…
22 September 2023, 12:44
RC Mbeya awaonya wananchi wanaopotosha kuhusu chanjo ya polio
Maambukizi ya virusi vya polio ni maambukizi yanayoathiri mfumo wa neva na huweza kusababisha udhaifu wa misuli au kupooza,Ugonjwa huu ni adimu, kwa kuwa chanjo imepunguza uwepo wa virusi hivi katika nji nyingi. na mwanaisha makumbuli Mkuu wa Mkoa wa…
21 September 2023, 4:40 pm
Zaidi ya watoto elfu 86 kupata chanjo ya polio Rungwe
Halmashauri ya wilaya ya Rungwe inatarajia kuwafikia watoto zaidi ya elfu themanini na sita na kuwapatia chanjo ya polio ambayo imezinduliwa rasmi hii leo katika mikoa sita yenye hatari ya kupata ugonjwa huo hapa nchini. Na Sabina martin – RungweJamii…
21 September 2023, 4:38 pm
Wajawazito watakiwa kufanya maandalizi mapema
Wataalamu wa Afya wanashauri kuwa mama mjamzito anatakiwa kuwa na maandalizi kabla ya kujifungua kwani kuna umuhimu wa kufanya hivyo ili kuepukana na madhara mbalimbali yanayoweza kutokea. Na Naima Chokela. Ushauri Umetolewa kwa Wajawazito kuhakikisha wanafanya maandalizi kabla ya kujifungua…
21 September 2023, 15:47
Mbeya yazindua huduma ya utoaji wa chanjo ya polio kwa watoto
Mkoa wa Mbeya ni moja ya mkoa wa Nyanda za Juu Kusini ambao umeanza leo zoezi la utoaji wa chanjo kwa watoto wenye umri wa miaka nane hii ni kutokana na uwepo wa mkoa wa katavi kuwa na kisa cha…
21 September 2023, 2:37 pm
WAVIU watakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya ARV
Kwa mujibu wa wataalam wa afya wanashauri kwamba ni vema wananchi kuhakikisha wanapima afya hususani maambukizi ya virusi vya ukimwi ili waweze kujitambua na kutumia dawa kwa usahihi. Na Katende Kandolo. Watu walioathirika na maambukizi ya virusi vya UKIMWI wametakiwa…
21 September 2023, 13:27
Wananchi Kyela washauriwa kuachana na imani potofu zoezi la utoaji chanjo kwa wa…
Wakati zoezi la utoaji chanjo kwa watoto chini ya umri wa miaka 8 likianza hii leo wazazi na walezi wilayani Kyela wameaswa kuachana na imani potofu, bali wanatakiwa kuamini chanjo inayotolewa na watoa huduma waliowekwa na serikali. Na Secilia Mkini…
September 21, 2023, 1:13 pm
Idara ya afya Wilayani Ngara Mkoani Kagera leo imezindua zoezi la utoaji chanjo…
Katibu tawala wa Wilaya ya Ngara Bw.Jawadu Yusufu aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera akizindua zoezi la kutoa chanjo ya Polio kwa watoto chini ya umri wa miaka 8 katika hospitali ya wilaya Nyamiaga. Idara ya afya Wilayani…
20 September 2023, 6:18 pm
Watoto elfu 34 kupatiwa chanjo ya polio halmashauri ya Busokelo.
watoto wenye mahitaji maalum pia wanahaki ya kupata hii chanjo ya polio hivyo msiwafungie ndani wapeni nafasi ya kupata chanjo. Na Sabina Martin – RungweWazazi na walezi katika halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe mkoani Mbeya wametakiwa kutowafungia watoto wenye mahitaji…