Radio Tadio

Afya

12 November 2023, 11:16 am

Wanafunzi Tumbatu washauriwa kuchunguuza afya zao.

Picha ya wanafunzi wa skuli ya sekondari Tumbatu. Na Vuai Juma. Na Vuai Juma Wanafunzi Kisiwani Tumbatu wameshauriwa kuwa na tabia ya kuchunguuza afya zao mara kwa mara ili kuweza kufahamu mwenendo wao wa kiafya. Ushauri huo umetolewa na Daktari…

7 November 2023, 4:36 pm

Wananchi watakiwa kuacha matumizi ya maziwa mabichi

Baadhi ya watu wanaokunywa maziwa mabichi huenda wasielewe kikamilifu hatari na huenda wasijue uwezekano wa kupata ugonjwa kutokana na bakteria katika maziwa . Na Aisha Alim. Bodi ya maziwa nchini imetoa tahadhari kwa wananchi juu ya kuepuka matumizi ya maziwa…

7 November 2023, 12:34 pm

Mimba za utotoni zapungua nchini kwa 5%

Dodoma ni miongoni mwa mikoa iliyofanikiwa kupunguza mimba za utotoni kwa kiwango kikubwa . Na Mariam Matundu. Ripoti ya utafiti wa afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya malaria ya mwaka 2022 imeonesha Tanzania imefanikiwa kupunguza mimba za utotoni…

2 November 2023, 18:00 pm

Makala: Huduma ya mama mjamzito na mtoto mchanga

Na Mwanahamisi Chikambu/ Gregory Millanzi Huduma ya mama na mtoto ina chimbuko lake kulingana na historia, wapo wanaosema binadamu ametokana na sokwe na wengine wanasema binadamu anatokana na binadamu mwenyewe. Karibu katika makala haya ambapo tunaangazia namna mama na mtoto…

1 November 2023, 11:52 am

18 wagundulika na kipindupindu Maswa,  mmoja afariki dunia

Na Nicholaus Machunda Watu  18 wamegundulika  na  ugonjwa  wa  kipindupindu wilayani  Maswa  mkoani  Simiyu  huku  mmoja akifariki dunia  kutokana  na  ugonjwa  huo. Hayo  yamesemwa  na  Mratibu  wa  Elimu  ya  Afya  kwa  Umma   Halmashauri  ya  Wilaya  ya  Maswa  Bi, Salma  Mahizi  wakati …