Radio Tadio

Afya

4 October 2024, 17:21

Benki ya EXIM yaahidi kutoa huduma bora kwa wateja wake

Benki ya Exim tawi la Kigoma imesema itaendelea kuboresha na kutoa huduma bora kwa wateja wake huku ikiwataka wafanyabiashara na mashirika yaliyopo mkoani kigoma kujitokeza na kuomba mikopo inayotolewa na benki hiyo kwa lengo la kukuza biashara zao. Na Joha…

4 October 2024, 13:27

Wazazi watakiwa kuwezesha watoto kupata elimu bora

Serikali imewataka wazazi na walezi kuendelea kuwapeleka watoto wao shule ili kupata elimu itakayowasaidia kuweza kutimiza ndoto zao. Na Lucas Hoha – Kasulu DC Wazazi katika halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwalea watoto wao katika maadili mema…

17 September 2024, 14:53

Vijana kuongeza mchango wa kilimo kwenye Taifa

Serikali wilayani kibondo imesema vijana hawana budi kuchangamkia fursa za kilimo ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuacha kupoteza muda kusubiri ajira. Na James Jovin – Kibondo Vijana wilayani Kibondo mkoani Kigoma wametakiwa kuwekeza katika sekta ya kilimo ili kujikwamua kimaisha…

13 September 2024, 7:07 am

Matukio ya mauaji ni hatari tuliombee Taifa-Sheikh JAH

Kufuatia kuwepo kwa matukio ya utekaji na mauaji ya raia nchini Tanzania viongozi wa Dini wazidi kuhimiza Waatanzania kila mmoja kwa imani yake kuliombea taifa ili Mungu atuepushe na majanga hayo. Na;Emmanuell Twimanye Wananachi  Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wametakiwa kuliombea…

21 August 2024, 10:30 pm

108 mbaroni kufuatia maandamano Simiyu

Mkuu wa wilaya Busega mkoani Simiyu amesema waandamanaji walimrushia mawe akiwa na viongozi wengine alipofika kuwasikiliza. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu Faiza Salim amesema hadi sasa watu108 wamekamatwa kufuatia maandamano yaliyofanywa na wakazi wa lamadi…

16 August 2024, 11:09

Shughuli za uvuvi zafunguliwa rasmi ziwa Tanganyika

Serikali imewataka wavuvi wa samaki ndani ya ziwa tanganyika kuacha uvuvi haramu kwa ajili ya uendelevu vsamaki na dagaa. Na Kadislaus Ezekiel – Kigoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amezindua zoezi la uvuvi katika  Ziwa Tanganyika baada ya…

9 August 2024, 19:26

Maswa wamshukuru Rais Samia kwa mradi wa maji Zanzui

Na Nicholaus Machunda Wananchi  wa  Vijiji  vya  Mabujiku, Malita  na  Zanzui  vilivyopo kata  ya   Zanzui, Wilayani   Maswa, Mkoani    Simiyu  wamemshukuru  Mh  Rais  Samia  Suluhu  Hasani  kwa  kutoa  Fedha  kwa  ajili  ya  Mradi  wa  maji  utakaonufaisha  Wakazi  zaidi  ya  Elfu Tisa.…

18 July 2024, 3:49 pm

Kijana (16) adaiwa kuuawa na marafiki zake Geita

Matukio ya ukatili mkoani Geita ikiwemo vitendo vya mauaji vimeendelea kuacha simanzi na maswali kwa jamii pindi matukio hayo yanapotokea. Na: Edga Rwenduru – Geita Kijana aliyefahamika wa jina la Lisborn Adam Selemani (16) mkazi wa mtaa wa Nyerere Road…

18 July 2024, 2:03 pm

Polisi Manyara yakamata watuhumiwa 50 wa uhalifu

Jeshi la polisi mkoani Manyara limewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi kwa kufichua wahalifu wa makosa ya ukatili wa kingono, dawa za kulevya na umiliki wa silaha kinyume na sheria  ili mkoa uendele kuwa salama. Na Angela…